Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

hakuna atakayemkamata kama tu arrrest warrant isipotoka, lkn kama ikitoka huwa inakwenda na regime change kwa hizi nchi msikini zisizo na nguvu, ni kwamba regime change itafwatia halafu raisi atakayekuja ataruhusu icc kuja kushika, game over ...
Maelezo uliyoyatoa ni dalili tosha kwamba hauelewi procedure za kuwakamata hao wanaohitajika huko ICC zipoje.

Nashauri ujielimishe zaidi kwenye eneo hilo.
 
Maelezo uliyoyatoa ni dalili tosha kwamba hauelewi procedure za kuwakamata hao wanaohitajika huko ICC zipoje.

Nashauri ujielimishe zaidi kwenye eneo hilo.

wewe ndiyo labda hauelewi, anaweza kukamatwa popote, rodrigo duderte wa phillipines alikamatwa na icc ndani ya phillipines, raisi wa ufilipino aliwaruhusu icc kuingia nchini na kummkamata, sasa kama iliwezekana ufilipino ije kushindikana tanzagiza kwa huyu? ...
 
Nasikia hata SGR mradi umekufa baada ya beberu kukata pesa, TRA hata KM moja hawana uwezo, ngoja muanze kukosa mishahara akili itarudi
Nakushukuru uwe na data kamili kwenye kujenga hoja zako.

Haya mambo ya kusema Nasikia, yabaki kwenye story za kupoteza muda ili siku iishe.
 
wewe ndiyo labda hauelewi, anaweza kukamatwa popote, rodrigo duderte wa phillipines alikamatwa na icc ndani ya philipines, raisi wa ufilipino aliruhusu wau wa icc kuingina nchin na kummkamata, sasa kama iliwezekana ufilipino ije kushindikana tanzagiza kwa huyu? ...
Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.

Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
 
Kwa akili finyu za huyu ajuza na vidampa wake, wanaweza kuichukulia hiyo summons as if imetokea pale kisutu residency magistrate kwa mbwa wake.

Mambo yakichachamaa itakuwa mpishano mpishano vikumbo kuwahi chooni...!
Na lile shungi mbona atachanganyikiwa ajifunge kwabibi!
 
sudani siyo mwanachama wa icc na wala haijaratify rome statue of the international criminal court, tanzagiza ni mwanachama mtiifu wa jumuiya kama zote za kimataifa, hivyo unalinganisha apple and oranges ...
 
Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.

Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
Kuna Rais hapa Afrika atakataa kumkamata Samia kwa namna walivyomlaani kuuwa Watanzania?,

Hukuona statement ya Wizara ya Mambo ya Nje Ghana? SADC? Nchi za Maziwa Makuu?

Hukuona statement ya Former President wa Botswana na Thambo Mbeki? Hukuona Statement ya Chama tawala Afrika Kusini ANC?

Samia kila mtu hamtaki maana ananuka damu za watu.
 
Kwa akili finyu za huyu ajuza na vidampa wake, wanaweza kuichukulia hiyo summons as if imetokea pale kisutu residency magistrate kwa mbwa wake.

Mambo yakichachamaa itakuwa mpishano mpishano vikumbo kuwahi chooni...!
Na lile shungi mbona atachanganyikiwa ajifunge kwabibi!
Tumeshauri humu Serikali ijiandae kwa transfer of power maana mwak huu tumeshasema hatupumziki hadi Samia na washirika wake wanatiwa korokoroni.
 
Hujui muda wa uchunguzi unategemea na upatikanaji wa ushahidi?

Kwa namna mauaji yaliyofanywa na Samia na washirika wake yalivyopata ushahidi wa haraka unaulizaje uchunguzi kuchukua miezi 2?

Vyombo vyote vya Kimataifa vinavyoheshimika duniani vimeelezea kwa ushahidi usio na mashaka namna mauaji yalivyofanywa alafu unauliza tena inakuwaje miezi miwili?

Si mlijiandaa kuuwa? Tulieni acheni kelele mshughulikiwe.
Uchunguzi kwa picha za mtandaoni!?
 
Angekuwa mwerevu angeruhusu Jeshi la Magereza liwe linamruhusu Lissu kwenda kumtetea huko ICC kisha anarudi tena Gelezani kuendelea na kesi yake ya UHAINI huku akijitetea mwenyewe.

Vingenevyo maza anakwenda kula nondo maisha, kizimkazi hatapaona tena maana kule kesi ni wiki tu ushakula miaka yako.
 
Back
Top Bottom