Rushwaaaaa pesa za bajeti ya rubber bullets zinaliwa,hawana hata mabomu ya machozi ya kuzuia maandamano ya siku mbili.Kwa kifupi hawana akili ndiyo maana hata pesa zao za kufa na kuzikana zinaliwa na maafisa,konstebo zero brain ni kuitikia tu ndiyo afande.Mimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?
Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?
Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Wengi kati yao ni sukuma gang haoWapuuzi sana hawa jamaa, wamekuja kugundua kuwa mwanamke ni hatari sana anapopewa madaraka makubwa kuliko mwanaume.
Ziara amefanya sana mikoani hii Ni mfano tu mmoja wa ziara zake mikoani. Swali kwako mawaziri na wakuu wa mikoa hawakuwepo?Acha ujinga, mwaka gani huo alikuwa anazunguka mikoani? Hakuna Mawaziri au wakuu wa mikoa hadi Rais akae kuzunguka mikoani kila wiki?
Makonda yupk pale ashampiga piniAlaa kumbe mambo yameiva hivi halafu msigwa hataki kuufahamisha umma😁😁
Kumbe ndio maana kajichimbia kwao kupiga tunguli
Waache wapunguze misongo ya mawazo. Wananchi wa kawaida kwa wingi wao wamewakataa hawa wanaharakati baada ya kugundua kuwa wao huko US na Ulaya wanalipwa pesa nzuri huku wakiwachuza ndugu waliowaacha TZ waingie mitaani wakapigwe risasi.Ingieni tena barabarani kama mnayaweza msitupoteze muda hapa nyuma ya keyboard
Hujui unachojibu? Hao wateule hawakuwepo kipindi anafanya hizo ziara huko mikoani?Anapiga kazi, lipo kundi kubwa la wateule wake wanafanya kazi nyingi na nzito.
Atachagua kwenda kwa hiari yake au anasubiri apigwe "tanganyika jeki"Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Kweli kabisa, hawakuamini siku JPM alipoaga dunia. Vichwani mwao wakaanza kugundua ule utawala wao ulikuwa umefikia mwisho.Wengi kati yao ni sukuma gang hao
Hapa mgumnda na camilius lazima wawajibishweKinachoniuma zaidi, baad ya wanajeshi kuondoka uraiani ndipo vijana akanza kuuliwa.
Mbona kuna wengi tu wamekamatwa.Maelezo uliyoyatoa ni dalili tosha kwamba hauelewi procedure za kuwakamata hao wanaohitajika huko ICC zipoje.
Nashauri ujielimishe zaidi kwenye eneo hilo.
Unapotezewaje muda? Kuna mtu alikuita uje humu jf kujibu?Ingieni tena barabarani kama mnayaweza msitupotezee muda hapa nyuma ya keyboard
Unaweza kumpangia Rais wa nchi afanye nini leo aache kufanya nini kesho?.Hujui unachojibu? Hao wateule hawakuwepo kipindi anafanya hizo ziara huko mikoani?
Ukiwa huna akili lazima upangiwe.Unaweza kumpangia Rais wa nchi afanye nini leo aache kufanya nini kesho?.
Kiongozi upo sawa kichwani kweli?.
Kuna taratibu zake, hauendi tu kama unaenda feri.Mbona kuna wengi tu wamekamatwa.
Kumbe huelewi siasa za dunia.Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.
Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
Subiri wewe upangiwe.Ukiwa huna akili lazima upangiwe.
Unawaamini hawa wanaharakati?Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Adui yenu halisi ni nani? Uvccm wanasema ni chadema, kina big show wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu, nyie mnasema wasukuma. Teueni adui yenu mmoja kuliko kujichanganyaKweli kabisa, hawakuamini siku JPM alipoaga dunia. Vichwani mwao wakaanza kugundua ule utawala wao ulikuwa umefikia mwisho.
Hawa kina Humphrey Pole Pole na wengi wa kanda ya ziwa walitegemea kumnyanyapaa SSH wakamkuta chuma kwelikweli