Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Adui yenu halisi ni nani? Uvccm wanasema ni chadema, kina big show wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu, nyie mnasema wasukuma. Teueni adui yenu mmoja kuliko kujichanganya
Maadui wanakuwa wengi kadri uongozi unavyoendelea kujitofautisha katika viwango vya kupata matokeo yaliyoahidiwa wakati wa kampeni.
 
Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.

Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
Kwahiyo na Samuya atakuwa na kibarua cha kukimbia kimbia na kujificha kama Al bashir, hiyo nayo ni adhabu tosha kwa mwanamke.
 
Wengi kati yao ni sukuma gang hao
Adui yenu halisi ni yupi? Wewe unasema ni wasukuma, uvccm wanasema ni chadema kina heche na lissu, bigshow na timu yake wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu

Kaeni chini mkubaliane adui yenu ni yupi
 
Hiyo kesi yao wanayoiota inapata ugumu kwa sababu ina sura ya kundi fulani kutaka kuipindua nchi.

Vyombo vya usalama vilitumia nguvu nyingi katika kuitetea dola isipinduliwe, huwezi kumshtaki Rais aliyetumia nguvu kwa mujibu wa katiba akiwalinda watu na mali zao.

Kuna swali hawa jamaa inabidi walijibu, vipi hao jamaa wangeachwa wakaichoma nchi halafu wakaichukua ikulu, je watetezi wao wangekuja na hizi habari za ICC?.

Walileta uhuni wakafanyiwa uhuni mkubwa zaidi.

Hawawezi jibu swali hilo hao mafala.

Wakitaka waachwe wanaichoma nchi huku wanajinadi wanaelekea ikulu kisha tuwaache??

Nchi hii ni yetu sote...hatuwezi kuwaacha mafala waharibu nchi kwa hoja zao za kifala kifala
 
Walimchukulia poa Samia sababu ni mwanamke, mbona wakati wa Magufuli waliufyata kimya

Walidhani kwa kuwa ni mwanamke basi ni size yao kenge hawa.

Sasa wamevuna walichokipanda...wathubutu tena kucheza na dola waone nguchiro hawa
 
Hawawezi jibu swali hilo hao mafala.

Wakitaka waachwe wanaichoma nchi huku wanajinadi wanaelekea ikulu kisha tuwaache??

Nchi hii ni yetu sote...hatuwezi kuwaacha mafala waharibu nchi kwa hoja zao za kifala kifala
Wale jamaa walipeleka moto kweli kweli hawakucheka na kima hata kidogo!.

Zile ndoto za Gen Z kuiteka ikulu huku wakijirusha kwenye vitanda ziliishia maeneo ya Mwenge na Kinondoni. Hawatakaa waisahau ile siku.
 
Akili zinatoka wapi au ile elimu ya masomo mbalimbali? Kuongoza nchi si ajabu, shetani na ubaya wake wote anatawala dunia, dini zote usiku na mchana zinapambana lakini bado yupo

Sasa wewe kubali au kataa yeye ndie Rais na huna uwezo wa kufanya lolote fala wewe
 
Wale jamaa walipeleka moto kweli kweli hawakucheka na kima hata kidogo!.

Zile ndoto za Gen Z kuiteka ikulu huku wakijirusha kwenye vitanda ziliishia maeneo ya Mwenge na Kinondoni. Hawatakaa waisahau ile siku.
Hakuna mtu alikua katili kuliko Hitler. Mwisho ilikuaje?
 
Akili zinatoka wapi au ile elimu ya masomo mbalimbali? Kuongoza nchi si ajabu, shetani na ubaya wake wote anatawala dunia, dini zote usiku na mchana zinapambana lakini bado yupo
Trump kule USA alifanyiwa mitihani ya chuo kikuu hivi sasa rais kwa muhula wa pili.

Wewe na PHD sijui Doctor unaishia kujaza seva ukitukana na kulalamika tu humu JF.
 
Hiyo kesi yao wanayoiota inapata ugumu kwa sababu ina sura ya kundi fulani kutaka kuipindua nchi.

Vyombo vya usalama vilitumia nguvu nyingi katika kuitetea dola isipinduliwe, huwezi kumshtaki Rais aliyetumia nguvu kwa mujibu wa katiba akiwalinda watu na mali zao.

Kuna swali hawa jamaa inabidi walijibu, vipi hao jamaa wangeachwa wakaichoma nchi halafu wakaichukua ikulu, je watetezi wao wangekuja na hizi habari za ICC?.

Walileta uhuni wakafanyiwa uhuni mkubwa zaidi.
Nguvu nyingi kwa warusha mawe inaonesha kwamba vyombo vyetu vya ulinzi havina watu wenye akili zaidi ya nguvu za bunduki.
 
Back
Top Bottom