Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Waacheni wafu wawazike wafu wao wenyewe
 
Ingawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashinda
'Kesha nyata uso' hana uzoefu kwa hili sababu kesi yake haikuwa na ushahidi wa moja kwa moja kuwa yeye alitoa amri ya kuuwawa watu.
Hii ya kwetu imemkalia vibaya sana yule mwanamama.
Pia kesi hii ushahidi mwingi sana upo hadharani kidijitali na wahanga waliofanikiwa kupona.
Wakisema wauwe mashahidi kama nchi jirani kwa huyo 'freedom Kesha nyata uso' watazidi kujiongezea matatizo. Itabidi wauwe au wapoteze watu wengi mno.
El Patron wao yeye yupo salama kabisa sababu alikuwa nyuma ya pazia anachezesha kamba za sanamu na kubofya vitufe vya remote control.
 
Haya mambo ni Mungu tu.

Kwa kukiri kwake kuuwa watu mbele ya mic tena akiwa live imerahisisha sana kazi ya Wachunguzi wa ICC.
 
Wacha kitokee maana watanzania wako tayari, hakuna njia mbadala zaidi ya hii
 

vyote hivyo vilikuwepo na vipo, ukitaka kuelewa kilichotokea jielimishe khs evil, evil is real the Bible warned us khs evil ...
 

Tena hawa vidampa wauaji wa TZ, wasipotii wito wa ICC watakuja kunyakuliwa kama vifaranga.Tz siyo Urusi, wala siyo Israel. Netanyahu ana nguvu za kijeshi, USA ipo nyuma yake, yupo na wananchi wake. Halikadhalika kwa Urusi, ana nguvu za kijeshi na ana watu wake. Huyu wa kwetu, wananchi hawamtaki, jeshi baadhi hawamtaki, jeshi lenyewe ni aheri ya makundi ya wanamgambo, zikidondoshwa drones 50 tu kwenye makambi na vituo vya wauaji, wote wananyosha mikono juu, na kuwa tayari kusaidia kuwanyakua wahusika wote.
 

Hajui mamlaka aliyonayo huyo ,anaropokaropoka bora Nchimbi akiongea huwa anatafakari asiumize hisia za watu ingawa anajua kwamba ni uongo ila BIBI kizimkazi yeye ni Mipasho na kupiga kwenye Mishono inayokaribia kukauka.

Yaani aliropoka eti mlitaka tutumie nguvu gani? Mlitaka tuwaache waipindue serikali? kwahiy serikali ya WAHUNI ya watu 10 ni muhimu sana kuliko maisha ya MAELFU YA WALIOUAWA?
 
Nakwambiaje. Mwaka huu tutachora mstari wa namna mwananchi anapaswa kuheshimiwa na hawa wapumbavu wanasiasa.

Arrest Warrant ikitoka tu tunapush kwa special task force ya kijeshi ya kimataifa kuwakamata wote. Hata waishi kwenye bunkers watakamatwa tu tena wote. Kuanzia Samia, Mombo, Mkunda, Wambura, Mafwele, Awadhi, Omari Kheri na yule dogo Abdul.

Lazima walipie kweli kwa kuozea jela kwa kumwaga damu za Watanganyika.
 
Adv.Magoti ndiyo yule Mwenye Albinism? Kama ndiye awe makini mno,atakatwa viungo very soon na wasiojulikana na itasemwa ni -Uhalifu wa Kawaida Kwa Walemavu wa ngozi,tunachunguza-:.....IGP-Ndiye atakuwa msemaji wa tukio.
 
Nguvu iliyotumika iliendana na HOFU ya kupoteza madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…