Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Kila mtu anatamani haki itendeke, lakini sio kwa hizo wishful thinking zenu.
 
Umesahau kwamba Bashir alikimbizwa Airport mara moja baada ya mahakama ya SA kuingilia kati?

Baada ya hapo hakwenda tena huko.

Pia Putin alitaka kwenda SA mkutano wa BRICS. Serikali ya SA ikaomba ushauri wa mwanasheria wao. Akasema mahakama ikitoa order itabidi akamatwe. Akaambiwa asiiende.
Nchi yenye mahakama huru ukienda unakamatwa. Kwa madikteta Unaweza kuwa Salama
 
Sasa unategemea Samia atakuwa mjinga kwenda kwenye mataifa ambayo anahisi yatasababisha apelekewe moto?
 
Rudi tena ukasome unajua kwanini hakukamatwa?Ulijua kilicho kuwa kimempeleka kule?Rais wa Afrika kusini aliomba asikamatwe kwasababu iliyokuwa imepeleka Kwa wakati ule.

Muwe mnasoma .Mnapoteza sana huyu shetani wapenu wakike kama washauri wenyewe ni wewe
 
Tena Durtete alikuwa ameshamaliza mchakato wa kujitoa ICC lakini haikusaidia kitu.

Namkumbuka Malcom Lumumba lile andiko lake
 
Wako wapi waliohojiwa?.. halafu ICC imtaarifu Samia kuhusu kumshitaki na iwe Siri, media zisijue ujue wewe tu na akina sarungi?
Hii ni initial stage. Anatakiwa kujitetea kabla ya ICC kuingilia kati.
Anaweza kusema Kaunda tume ya ndani na ni huru hivyo hamna haja ya ICC. Wakiamini atakachosema wanaweza wasianze uchunguzi.
 
Huwezi conclude uchunguzi wa kisheria toka kwenye picha halafu ukawa credible,lazima uende ground
Ndiyo maana mnabaki na maneno huenda mamia wamezikwa makaburi ya halaiki,hamna uhakika wala hamjui mseme yalipo
Picha zote na video lazima zihakikiwe kuwa ushahidi .Hata hivyo shahidi namba Moja na Hospitali zote za Kanisa Katoliki
 
Wewe tena mpiga ramli umekula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…