Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

Noted with great concern!
 
😆😆
 
Ccm tumboni kazi kweli kweli
 
😅😅😅duuh
 


Tonge La Mwisho Ndiyo La Kukombea Mboga

 
Kila siku gari zinauwa watu kila siku au wale makaratasi? watu 19 wamekufa hili ni shirika la ndege wana bima zao uwanja wa ndege wana fire kuzuia majanga ya uwanjani na kusaidia ikiwezekana. Huko nchi za nje kuna ndege kibao zilishapoteza uhai wa ndege nzima nani alijiuzuru? ingekuwa janga natural disaster kama labda mafuriko. tetemeko la ardhi... JPM aliwatolea nje wa Kagera na watu waliufyata. watu wamekufa kwa muda mfupi waliozama kwenye maji haikuchukuwa hata dakika 5 sisi tuna uwezo gani wakufika haraka hivyo?
 
Kumbuka hoja yake sio ya jambo Moja yapo zaidi ya 20 hpo sasa kumkosoa kwenye jambo moja sioni logic yoyote hpo
 
Majaliwa ni waziri Mkuu bora ila mazingira ya kazi si mazuri kwake anapigwa madongo kwa kumhofia 2025. Anapunguzwa nguvu kimkakati.
 
Majaliwa ni waziri Mkuu bora ila mazingira ya kazi si mazuri kwake anapigwa madongo kwa kumhofia 2025. Anapunguzwa nguvu kimkakati.

Ni bora kwenye Serikali iliyoua na kunyang’anya uhai wa Ben Saanane, Azory Gwanda…

Ni bora kwenye Serikali iliyowanyang’anya wafanyabiashara hela katika maduka ya fedha za kigeni.

Ni bora kwenye mizigo ya magendo.

Hakika ni bora.
 
Huyu mwandishi inaonekana ni mganga njaa.Ni mchumia tumbo .Anatumika vizuri sana.Ndugu mwandishi wangu Tito Magoti ,unatuaibisha watu wa Musoma .Watu wa Musoma hawajawahi kuwa wanafiki na wachumia tumbo Kama ww.Yote uliyoyataja juu ya wazir mkuu ,Nina maswali muhimu ya kukuuliza:. 1.Je Kassim ni Rais au ni wazir mkuu? 2.Je,wakati yanatokea yote hayo ya nyuma Rais wa sasa alikuwepo Kama Nani?Mbona yeye alaumiwi? Kuna kikundi kipo nyuma ya hii muvu.Tunaomba msitupotoshe.Ukweli unajulikana.
 
hapa issue sio ndege kuanguka bali issue ni uwaziri mkuu!
hapa kuna 'mstaafu mmoja' na 'fisadi mmoja' wanataka awekwe yule failure wao kwa maslahi yao hasa biashara ya gas!
 
Mkuu hawa wameandaliwa kumchafua huyu MP ili wampenyeze "yule mtu wao' ambae hana uwezo wowote zaidi ya kupokea malekezo ya hao wakubwa wake 2!
 
Chawa Ni wengi wanaomsakama Mh Waziri mkuu.

Ndio maana mzee Lowasa alipojiudhuru alisema tatizo Ni uwaziri mkuu. Watu hatukumuelewa

Mwacheni Waziri mkuu apige kazi, Mfumo wetu wa kimamlaka haujampa Waziri mkuu mamlaka makubwa kumzidi Rais..kwahyo Naye anafuata order kutoka juu
 

Alf bado Kuna mtu atakuja na kusema anafaa kua Rais toka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…