Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

Kujiudhuru? Thubutu....mwendo wa ving'ola aaah acha, pia ujue sisi tunaokuwaga kwe convoy yake titalambaje asai ya mishafara, nenda zhako utiache bana
 
Chawa Ni wengi wanaomsakama Mh Waziri mkuu.

Ndio maana mzee Lowasa alipojiudhuru alisema tatizo Ni uwaziri mkuu. Watu hatukumuelewa

Mwacheni Waziri mkuu apige kazi, Mfumo wetu wa kimamlaka haujampa Waziri mkuu mamlaka makubwa kumzidi Rais..kwahyo Naye anafuata order kutoka juu

Incompetent na kiongozi ambaye si proactive mtachelewa sana kwenye maendeleo,
 
Back
Top Bottom