Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

Hahahaa! Pole sana dada ila usikate tamaa endelea kumbembeleza mumeo atakusamehe tu, wewe na TIWA mmejifunza kwa njia ngumu mno
 
Umalaya wa mwanaume haufananishwi,kupimwa au kulinganishwa na wa mwanaume hata kwa sekunde moja tu kutokana na sababu za kimaumbile,kimapokeo,kiasilia na kihisia.Jitahidi hilo likae kichwani kwa kung'ang'ania lisitoroke.
 
Waendelee kujuta sasa wakati wake wa kujioa
 
Kukiri kosa ni njia mojawapo ya kuonyesha anajutia alicho kifanya, swali linakuja je anaweza kubadilika kweli?
Je anaweza kuvumilia pindi mambo ya kiwa hayako sawa ktk familia? maana inaonekana Moyo wake hauna uvumilivu wa kubeba jukumu na uurahisi sana kupeperushwa na kushaurika vibaya.
 
Wanaume ndo wanaongoza kwa usaliti na kurudi rudi kwa wanawake ni wachache sana.
 
Ila maisha haya mnavyojishaua kutusema Wanawake vibaya kama vile hamna ndugu zenu wa kike huko mlipo. Lol.

Jifunzeni kutumia neno baadhi itawasaidia sana na sisi sisi wanawake mnaotuitaa wajinga na tusio na akili baadhi ndo tunaowaongoza huko mnakopata shilingi mbili tatu.
 
Wewe kucheat Kwa mwanamke ina impact tofauti saana na akicheat mwanaume,

Don't force to make comparison.
 
Sawa

Tusameheeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…