Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Kofuli likithibitika linafunguka na funguo zaidi ya moja huwa linatupwa.
Ufunguo ukifungua kofuli zaidi ya moja huwa unatunzwa
 
Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Dada kila siku mnaambiwa kitasa kikifunguliwa na kila funguo akifai mbona hamuelewi wanawake unazani kitasa kila funguo ifungue kuna usalama ndani tena na kingine wanawake na wanaume sio sawa apa duniani elewa na ili.
 
Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum

Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana

Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa

Wanawake ni viumbe wajinga sana wasiokuwa na akili hata moja

Akili kubwa waliyonayo ni kuvaa na kuvua chupi zao tu

LONDON BOY

---
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume wake, Tunji Balogun maarufu kama Teebillz na kuanzisha uhusiano na mwanaume mwingine.

Msanii huyo amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na jarida la Elle South Africa na kusema hiyo ndio moja ya kosa kubwa ambalo amewahi kufanya.

"Nilimfanya mume wangu asijisikie kuwa mwanaume kwa sababu nilianza kutoka na mwanaume mwingine, bado nampenda na najua nilimkosea lakini nataka kurekebisha mambo na turudiane,” amesema

"Sina uhakika kuwa anaweza kunirudisha tena na sikuwahi kutaka kumpa talaka lakini mwanaume mwingine alinihadaa nimuache mume wangu niwe naye.”

Tiwa ameongeza kuwa sio rahisi mwanamke aliyemwacha mumewe kuolewa na mwanamume mwingine huku akiwasihi wanawake kutofanya alichokifanya.

Mwananchi
Nimeona kwenye news outlets za Wanaija na comments za wanaija wanasema haya maneno si ya Tiwa Savage bali ni viblog tu vimeunda habari na kuanza kuisambaza
 
Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Bado hujasema
 
Pole sana

Naona imekuuma hadi basi
 
K imechakazwa hadi imeota sigda halafu anataka kumrudishia makombo tena Ex wake
 
Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Mwanamke ni mali ya mtu kama mfugo,ukisaliti inatakiwa uchinjwe au utupwe
 
Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Poor Brain njoo umchekinhuyu dada ambaye hana akili 🤣🤣🤣🤣
Sasa mama zetu wanakujaje kwenye hii story....huyu kweli hana akili
 
Shida inaanzia kwenye jina lake, sasa mwanamke anaitwa "tiwa" si anakua wa ku "tiwa" "tiwa" tu...aache ujinga arudi kwa mchepuko wake!!!
 
Back
Top Bottom