Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

Wanakuwaga na maneno ya kuondokea;

1. Kwanza wewe kunioa mimi nilikuwa nakusaidia tu.

2. Wakiitwa wanaume na wewe utakwenda?

3. Bora ningeolewa na fulani kuliko wewe huna lolote

etc..!!

Wakishaondoka na wakakutana na YASIYOTARAJIWA majuto huanza
 
Usambani i miss usambani jamani nikimpata mbondei nafunga mwaka
 
Jamani uzi ufungwe hii spana imejitosheleza "eti wanawake wote hawana akili" kisa Tiwa anataka kulirudia koloni lake
 
👆🏻Huyu dada nahisi ni single mother
 
Majuto
Anajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…