Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Niko ruvuma ukwel ni kwamba watu weng mmefanya kuwabebelea toka wilaya za jilan kwa kuwalipa mabaloz pesa ooh ngoja nikae kimya
 
Mama hauziki tena bila kutatua tatizo la katiba, watu kuuliwa kama mbwa hataweza kuheshimiwa kama zamani. Hata mimi kanitoka mpaka haya yarekebishwe
 
Mama hauziki tena bila kutatua tatizo la katiba, watu kuuliwa kama mbwa hataweza kuheshimiwa kama zamani. Hata mimi kanitoka mpaka haya yarekebishwe
Mama anapendwa na kukubalika sana na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua
 
Mara nyingi Huwa ni wa bibi wailiojichokea ambao hubebwa kwenye malori kama na kutupwa hapo uwanjani ili waonekane watu wengi Kwa kupewa pesa kati ya elfu Tano Hadi elfu kumi.pia walimu hulazimishwa wote wahudhurie hiyo mikutano hiyo pamoja na wale ambao husafiri nao kama miatano hadi miasaba.Hii nimeiona ruvuma,lindi,mwanza yaani mikutano yote ya ccm ndiyo hivo.
 
Mama hauziki tena bila kutatua tatizo la katiba, watu kuuliwa kama mbwa hataweza kuheshimiwa kama zamani. Hata mimi kanitoka mpaka haya yarekebishwe
Mambo yameshaharibika sana.Anaandaliwa mgombea mwingine huyu hatoshi tena.
 
Naona mnafarijiana Kama wafiwa / wajane vile.

Wajinga siku zote ni mtaji wa matapeli.
Bahasha njema makada.
 
Naona mnafarijiana Kama wafiwa / wajane vile.

Wajinga siku zote ni mtaji wa matapeli.
Bahasha njema makada.
ushirikina na ramli za mtu au chama chochote cha upinzani, haziwezi kabisa, kuzuia waTanzania kumpenda, kumuamini na kumuunga mkono kiongozi wao makini sana, na kipenz cha waTanzani wote Dr.Samia Suluhu Hassan kitaifa na kimataifa..

so ,
ni vizuri ukarilax gentleman, na ukawaachia nafasi waTanzania waonyeshe mapenzi yao kwa kiongozi wao bila makasiriko 🐒
 
Mambo yameshaharibika sana.Anaandaliwa mgombea mwingine huyu hatoshi tena.
Wewe ndiye hutoshi wala kustahili kufanya mjadala au mazungumzo na watu wenye akili Timamu na wanaojitambua kama mimi .wewe pata matibabu kwanza.
 
Kama anapendwa kweli hatuhitaji kuambiwa anapendwa. Akiwa Mwanza, Tabora na Morogoro tulionyeshwa mafuriko kama hayo. Lakini, sambamba na picha hizo za mafuriko kulionyeshwa pia memo kutoka uongozi mkoani zikiagiza wafanyakazi wote lazima wahudhurie mkutano wa Rais na ichukuliwe orodha ya wasiohudhuria ili kuwachukulia hatua. Kwa hiyo picha za mafuriko ni ngonjera tu. Mtu anayependwa itajidhihirisha yenyewe tu . Chema chajiuza; kibaya chajitembeza.
 
Nenda na wewe upokelewe kama hivyo. huoni CHADEMA jana walikosa waandamanaji?
 
Hapo hela ya waarabu imetumika sana kusomba watu ili kuhadaa umma kuwa kiongozi wa watekaji anakubalika.
 
Hapo hela ya waarabu imetumika sana kusomba watu ili kuhadaa umma kuwa kiongozi wa watekaji anakubalika.
Kwenda huko na unafiki wako hapa wewe. Wewe ndiye kila siku ulikuwa unasema utaandamana lakini jana umetokomea na kujificha uvunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…