Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Naona mnajifariji huku mkiumia sana mioyoni mwenu CHADEMA
Mimi niwe chadema mimi ww ulisikia wapi??? Et Mheshimiwa mimi siwezi kuwa chadema siku itafika ccm watajielewa na kiongoz bora atapatikana na taasisi imara zitajengwa huo ndio utakuwa msingi bora wa ccm kuongoza vyema

Kwa sasa ccm ipo bado kwenye transition mkuu

#kidumu cha chama cha mapinduzi
 
Msengerema moja wew…….. shwain
 
Kidumu Chama Tawala Daima.
 
Wenye Fuso Huko Songea Wamepiga PesA Ndefu Kusomba Watu Mitaani
Kula CCM, Kura CHADEMA
Mchana CCM, Usiku CHADEMA
By Mzilankende
 
Wenye Fuso Huko Songea Wamepiga PesA Ndefu Kusomba Watu Mitaani
Kula CCM, Kura CHADEMA
Mchana CCM, Usiku CHADEMA
By Mzilankende
Mnaumia sana kuona mafuriko hayo ya Mheshimiwa Rais huku Ninyi jana mlikimbilia vyumbani kujificha.
 
Asilimia kubwa ya kizazi cha Tanzania akili zilishaoza ikiwemo hao walioenda kumsikiliza huyo mama kizimkazi.
 
Ninyi Ma CHADEMA ndio mfarijiane kwa kushindwa kwenu kufanya maandamano kwa kukosa watu
Kila atakayekuwa kinyume na sisiem Ni Chadema ... Yaani una majibu yako mfukoni unatafuta pakuthibitishia.
Kwa akili hizo Anko hakika wewe umskule mkongwe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kada ukipewa bahasha utu una kukauka vibaya Sana.
 
Huu ni ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…