joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenKidumu Chama Tawala Daima.
Watanzania tunaendelea kutamba na Mama na kumpatia ushindi wa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima hapo MwakaniMungu akisema NDIO hakuna wa kukataa.
Rais Samia kashushwa na kutoka kiti cha enzi cha Mungu kuikomboa dunia.
nadhani sihisiki na anae husika huenda ungepata fursa kujua zaid kwake kulikoni hilo..View attachment 3105529😂😂 Kada ukipewa bahasha utu una kukauka vibaya Sana.
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Kweli nawewe seka Ila ipo siku muta tafuta sehemu ya kukimbilia muta chinjwa shingo kuanzia baba mama watoto mpaka wajukuu hatutotaka Tena damu ya ccm ibaki kwenye hii ardhi ya Tanzania. Na itakua fundisho kwa chama chengine kitakacho kuepo madarakani.Endelea kuweweseka tu
Rais wetu kuleta maendeleo kila eneo.Tunataka maendeleo
Naona umechanganyikiwa kabisaKweli nawewe seka Ila ipo siku muta tafuta sehemu ya kukimbilia muta chinjwa shingo kuanzia baba mama watoto mpaka wajukuu hatutotaka Tena damu ya ccm ibaki kwenye hii ardhi ya Tanzania. Na itakua fundisho kwa chama chengine kitakacho kuepo madarakani.
Tena sanaNaona umechanganyikiwa kabisa
Kapime afya ya akiliHuyo huku Usukumani hapati kura hata moja hatumpendi hatumpendi hatumpendi.
"Ni mikoa yenye maskini wengi sana," that is what I meant.Anyway,Lucas sijui unalipwa kiasi gani kuwa chawa ''First Class!" Kama hulipwi, unahitaji kupimwa akili.Embu soma ulichoandika.
Papai hiloNahisi wewe jamaa utakua shoga Watu wanakupiga Dudu kwa nyuma.
Huyo dikteta tuna kesi naye huku Usukumani wewe huwezi kuelewaKapime afya ya akili
Wewe Bunji kada wa CCM Mbeya umeshalewa uCCM tutakwambia nini wewe!?Wewe ndiye huna akili labda.
Mimi silipwi kwa ajili ya kuwepo hapa jukwaani au kuandika hapa jukwaani."Ni mikoa yenye maskini wengi sana," that is what I meant.Anyway,Lucas sijui unalipwa kiasi gani kuwa chawa ''First Class!" Kama hulipwi unahitaji kupimwa akili.
Hujielewi kabisa weweHuyo dikteta tuna kesi naye huku Usukumani wewe huwezi kuelewa
Acha utoto wako hapaPapai hilo
Huwa hujitambui kabisa wewe.Msukule Wa CCM Ule
Afu Nasikia unapumuliwa kisogoniNdugu zangu Watanzania,