Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Mungu akisema NDIO hakuna wa kukataa.
Rais Samia kashushwa na kutoka kiti cha enzi cha Mungu kuikomboa dunia.
Watanzania tunaendelea kutamba na Mama na kumpatia ushindi wa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima hapo Mwakani
 


Tunataka maendeleo
 
Endelea kuweweseka tu
Kweli nawewe seka Ila ipo siku muta tafuta sehemu ya kukimbilia muta chinjwa shingo kuanzia baba mama watoto mpaka wajukuu hatutotaka Tena damu ya ccm ibaki kwenye hii ardhi ya Tanzania. Na itakua fundisho kwa chama chengine kitakacho kuepo madarakani.
 
Naona umechanganyikiwa kabisa
 
"Ni mikoa yenye maskini wengi sana," that is what I meant.Anyway,Lucas sijui unalipwa kiasi gani kuwa chawa ''First Class!" Kama hulipwi unahitaji kupimwa akili.
Mimi silipwi kwa ajili ya kuwepo hapa jukwaani au kuandika hapa jukwaani.
 
Afu Nasikia unapumuliwa kisogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…