Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Ni kweli kabisa. Siku moja moja Lucas Mwashambwa toa elimu kuhusu kilimo, changamoto zake na fursa za masoko watu wajifunze​
Hayo yote ya habari ya kilimo nilishaandika. nimeandika na kugusa maeneo mengi sana. Lakini pia nanyi mpo huru kuzungumza na kuandika kuhusu maeneo ambayo mnahisi sijaandika ili nami nipate kujifunza kupitia Ninyi.
 
Nimefurahi sana na kugalagala kwa furaha kama Jenister hakika mama anapendeka na kupendwa ,mama Samia oyeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…