Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Punguza mihemko, kukosa Tisa Ndio nini?
 
Hapo anafurahi pia yuko ikulu eti eeh.
oops
20220522_123133.jpg
20220522_123118.jpg
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Hawa chadema wakimnanga maalim seif sana, zitto kabwe sana, sasa bei imetimia kila siku ikulu, tanzania tuna safari ndefu sana kuiondoa ccm madarakan, unafiki ni mwingi sana, mitano tena kwa mama
 
Mnaojiona watoto wa mjini ndiyo wepesi kuliwa tigo,,kazi yako kuchunguza tabasamu la Mbowe tu,utakuwa chakula wewe
Inaonekana yamekukuta sana... Sasa unataka uzoefu wako na wengine waupate. Siyo wote laini kama wewe...sisi wanaume tumekaza. We endelea tu kutokana na uzembe wako.... Povu linatoka sehemu zako zote za mwili.
 
Naona leo jamii forum ni nyuzi za CHADEMA tu.

Lile Kundi kama kawaida yao, wana legasi wapumbavu sana hao.

Walizoea Siasa za Vitisho,Ubabe wa Kishamba wa kina Afande Muloto.

Huko tushatoka lazima wakubaliane na hali ya mambo ilivyo.
 
Sasa wewe kuanza kuchunguza mwanaume mwenzio akitabasamu huo ndiyo uchoko wenyewe huo au kifupi wewe ni michichamwiba, ukali wa sindano nyuma uzi unaingia kiulaiiini!!!
Una uzoefu mkubwa sana. Unatamani na wengine nao wawe kama wewe.... Haiwezekani. Ila unadhani Mke wa Mbowe akisoma posts zako na uchungu ulio nao atashindwa kukugundua kweli? Maaana umeshindwa ficha hisia zako kabisa juu ya Mbowe...😂😂😂😂
 
Chadema bwana, wanaletewa hoja wanajibu matusi. Kwamba hamjui picha inazungumza maneno 1000?!!! Nyie watu mtainuka lini?
Mnaojiona watoto wa mjini ndiyo wepesi kuliwa tigo,,kazi yako kuchunguza tabasamu la Mbowe tu,utakuwa chakula wewe
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Hana namna, AC za humo sio kama za kwake, pia ameshiba
 
Kipindi kile alivyokuwa gerezani je ulishamwona amenuna ....mwacheni mzee mbowe
 
Back
Top Bottom