Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

 
CCM Huwa haiokotezi viongozi kama wale wengine
 
Huwezi ukaelewa mambo haya ndugu yangu. Unakumbuka na kulikumbuka Bunge la katiba? Unakumbuka Mama alikuwa ni nani katika bunge lile? Unakumbuka umahiri wake katika kuliongoza? Unakumbuka?
Mama SAMIA Hata aliko kaa kama anasoma comment au maandiko yako anajua kabisa kuna kitu unakitafuta kwa udi na uvumba na kitu hicho ni cheo.Kama ana Akili hawezi kukupa,maana ww kwa picha unayoonesha una udhaifu mkubwa sana wa kufikiri huwezi kupewa kundi kuliongoza utalipoteza asubuhi na mapema.
 
Sitafuti cheo Mimi
 
Vipi Ile taarifa ya Ripoti ya mauaji na utekaji aliyoitaka haraka amepelekewa na kama tayari lini aitoe hadharani.
Tuache matani kwenye maisha ya waTanzania!

Hii ya kusema kwa UWT watoke kusema wazi kumtetea unaona liko Sawa?

Tupate ripoti sivyo waTZ tuelewe wao ndio wahusika na halikwepeki.
 
Kaa kwa kutulia kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…