Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Na wewe ni mjinga piaMjinga Mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mjinga piaMjinga Mwenyewe
Mungu akusamehe sanaNa wewe ni mjinga pia
Aanze kukusamehe wewe muuza nchiMungu akusamehe sana
Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesamehewa dhambi zako bure kabisaAanze kukusamehe wewe muuza nchi
Dhambi ni nini?Umesamehewa dhambi zako bure kabisa
CCM Huwa haiokotezi viongozi kama wale wengineNdugu zangu Watanzania,

Jikite kwenye hoja,Samia hskuokotwaHata uoge mjini huendi,teuzi ni kwa wenye chama tu takataka kama wewe utaishia kurushiwa makombo tu. ephen_
Wale wengine hawana uwezo hata wa kuandaa ilani ya uchaguzi.CCM Huwa haiokotezi viongozi kama wale wengine
Nyie Huwa mnatupiwa makombo yenu siku gani?Leo Ijumaa ni siku ya chawa kutupiwa makombo kama mbwakoko vile.
Chadema hakuna hela na sisi hatuna dhiki tunajitegemea.Nyie Huwa mnatupiwa makombo yenu siku gani?
CHADEMA ni njaaa tupuChadema hakuna hela na sisi hatuna dhiki tunajitegemea.
Wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiye una njaa kali hadi imekutoa ufahamuCHADEMA ni njaaa tupu
We always talk the truth.The reality of the people's life in Tanzania in very open.Acha kupaniki
Mama SAMIA Hata aliko kaa kama anasoma comment au maandiko yako anajua kabisa kuna kitu unakitafuta kwa udi na uvumba na kitu hicho ni cheo.Kama ana Akili hawezi kukupa,maana ww kwa picha unayoonesha una udhaifu mkubwa sana wa kufikiri huwezi kupewa kundi kuliongoza utalipoteza asubuhi na mapema.Huwezi ukaelewa mambo haya ndugu yangu. Unakumbuka na kulikumbuka Bunge la katiba? Unakumbuka Mama alikuwa ni nani katika bunge lile? Unakumbuka umahiri wake katika kuliongoza? Unakumbuka?
Sitafuti cheo MimiMama SAMIA Hata aliko kaa kama anasoma comment au maandiko yako anajua kabisa kuna kitu unakitafuta kwa udi na uvumba na kitu hicho ni cheo.Kama ana Akili hawezi kukupa,maana ww kwa picha unayoonesha una udhaifu mkubwa sana wa kufikiri huwezi kupewa kundi kuliongoza utalipoteza asubuhi na mapema.
Vipi Ile taarifa ya Ripoti ya mauaji na utekaji aliyoitaka haraka amepelekewa na kama tayari lini aitoe hadharani.Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kaa kwa kutulia kwanza.Vipi Ile taarifa ya Ripoti ya mauaji na utekaji aliyoitaka haraka amepelekewa na kama tayari lini aitoe hadharani.
Tuache matani kwenye maisha ya waTanzania!
Hii ya kusema kwa UWT watoke kusema wazi kumtetea unaona liko Sawa?
Tupate ripoti sivyo waTZ tuelewe wao ndio wahusika na halikwepeki.