Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Unauliza habari za wazazi wangu unataka walete mahari kwa wazazi wako? Mimi tayari nina wake watatu wananitosha
Kwa sababu inatakiwa wakusaidie kwa kukupeleka hospitalini haraka sana kupata matibabu.kwani wewe hujioni kuwa ni mgonjwa?
 
Kwani wapi katika andiko langu umeona nikizungumzia habari za uteuzi wangu?
Kwa upumbavu unaopost kila siku ni mtegemea teuzi au juha aliykubuhu anayeweza kuandika.

Mbaya zaidi unajua watu hawakubali na ni uongo na ujinga unaoandika lakini huna hata mshipa wa aibu, kweli CCM imetengeneza kizazo cha wajinga
 
Kwa upumbavu unaopost kila siku ni mtegemea teuzi au juha aliykubuhu anayeweza kuandika.

Mbaya zaidi unajua watu hawakubali na ni uongo na ujinga unaoandika lakini huna hata mshipa wa aibu, kweli CCM imetengeneza kizazo cha wajinga
Uongo ni upi katika hoja yangu.
 
Kajamaa kaongo wewe!Umeshiba viazi vitamu ukaona ulete upashkuna wako!
 
Na waliosimama mstari wa mbele waliovaa magwanda nao kumbe wameandaliwa !

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Kama mungu ni mwarabu na Jjburili ni jk waweza kuwa sahihi.

Ungemtaja tu Ziraili story yako ingekamilika.

Kuna wengi humu hatuamini kuwa jpm alikufa kwa kukanyagwa na punda kwenye soko la samaki. hapo bagamoyo

Najua huwezi nielewa ila jiangalie usiwe na maneno mengi hata kama ni ya kusifia
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sana
Tokaaa
 

Hata mnyika na lisu waliandaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…