Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Hapo sawa kidogo nidhanie Jehovah au AllahBaali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa kidogo nidhanie Jehovah au AllahBaali
Dah afu kumbe we ni mwanaume aiseeee🖐️🖐️🖐️, ni hatar sanaUnauliza habari za wazazi wangu unataka walete mahari kwa wazazi wako? Mimi tayari nina wake watatu wananitosha
Kwa sababu inatakiwa wakusaidie kwa kukupeleka hospitalini haraka sana kupata matibabu.kwani wewe hujioni kuwa ni mgonjwa?Unauliza habari za wazazi wangu unataka walete mahari kwa wazazi wako? Mimi tayari nina wake watatu wananitosha
Kwa upumbavu unaopost kila siku ni mtegemea teuzi au juha aliykubuhu anayeweza kuandika.Kwani wapi katika andiko langu umeona nikizungumzia habari za uteuzi wangu?
Uongo ni upi katika hoja yangu.Kwa upumbavu unaopost kila siku ni mtegemea teuzi au juha aliykubuhu anayeweza kuandika.
Mbaya zaidi unajua watu hawakubali na ni uongo na ujinga unaoandika lakini huna hata mshipa wa aibu, kweli CCM imetengeneza kizazo cha wajinga
Unapoweka namba za Simu.Kwani wapi katika andiko langu umeona nikizungumzia habari za uteuzi wangu?
Huna hoja bali ni vihojaUongo ni upi katika hoja yangu.
Kajamaa kaongo wewe!Umeshiba viazi vitamu ukaona ulete upashkuna wako!Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na waliosimama mstari wa mbele waliovaa magwanda nao kumbe wameandaliwa !Ndugu zangu Watanzania,

Akishavimbiwa magimbi na maparachichi anakuja kupumulia humuKajamaa kaongo wewe!Umeshiba viazi vitamu ukaona ulete upashkuna wako!
Hivi Kuna msukuma katili kama yule jamaa?Nchi alipopewa msuku** ndo nilipoona vetting za kijinga
Namba ya simu ipo wapi hapo?Unapoweka namba za Simu.
Hapa unazungumzwa ukweli na siyo kusifiaKujipendekeza na kusifia Sofia nitabia za majinga
Utapigwa Ban dogo kwa kukosa kwako adabu.Akishavimbiwa magimbi na maparachichi anakuja kupumulia humu
Hao wa magwanda kazi yao ni kunyweshwa juice na kupewa maelekezoNa waliosimama mstari wa mbele waliovaa magwanda nao kumbe wameandaliwa !
Ngoja Tusubiri tuone !
Onyesha uongo wangu upo wapiKajamaa kaongo wewe!Umeshiba viazi vitamu ukaona ulete upashkuna wako!
TokaaaRais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sana
Ndugu zangu Watanzania,