Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Na mimi naweza kuwa mtu kati ya watu maana nilikuwa back bencher !
 
JK ana akili nyingi sana. Hivi vikao vilikua vinawamaliza wapinzani wake kisiasa taratibu bila kelele.
 
Pole na asante wenye jamuhuri yao watakujibu 2025 kama walimuandaa kwa kazi au kwa yale maafa kisha waendelee na ratiba zao. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…