SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mtu mzima hatishiwi nyau.Utapigwa Ban dogo kwa kukosa kwako adabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mzima hatishiwi nyau.Utapigwa Ban dogo kwa kukosa kwako adabu.
Sasa wewe endelea kutoa matusi yako humu kama kichaa au mwendawazimuMtu mzima hatishiwi nyau.
Hao ni wasaliti tu ndio maana waliitwa kupewa maelekezoHata mnyika na lisu waliandaliwa
Mkitaka na nani wewe kidampa msaka nyoka anakujua nani wewe?Na tukitaka tutamwambia aendelee zaidi ya hapo
Utake usitake,upende usipende.Mama ataongoza Nchi hii mpaka 2030 na tukitaka tutampa hadi 2035 na huna cha kutufanya.Mkitaka na nani wewe kidampa msaka nyoka anakujua nani wewe?
Uzi wote.Wewe ni kaongo sana.😎Onyesha uongo wangu upo wapi
Wewe mchurie tu. Kuna mtu alisema hivyo hivyo kuhusu dhalim na wote tunajua nini kilifuata.Utake usitake,upende usipende.Mama ataongoza Nchi hii mpaka 2030 na tukitaka tutampa hadi 2035 na huna cha kutufanya.
Mama ataongoza mpaka achoke MwenyeweWewe mchurie tu. Kuna mtu alisema hivyo hivyo kuhusu dhalim na wote tunajua nini kilifuata.
Mungu hadhihakiwi .Mama ataongoza mpaka achoke Mwenyewe
Na mimi naweza kuwa mtu kati ya watu maana nilikuwa back bencher !Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulikuwa Bench la wapi hilo.Na mimi naweza kuwa mtu kati ya watu maana nilikuwa back bencher !
Haya ngoja tuone mengine nisisemeBila shaka umeshapata tatizo la akili .ndio maana unajifanya kunifahamu.
Siyo suala la kuona bali unatakiwa ufanye haraka kupata matibabu.Haya ngoja tuone mengine nisiseme
Unachokitafuta utakipata muda siyo mrefuSiyo suala la kuona bali unatakiwa ufanye haraka kupata matibabu.
Pole na asante wenye jamuhuri yao watakujibu 2025 kama walimuandaa kwa kazi au kwa yale maafa kisha waendelee na ratiba zao. AsanteNdugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sihangaiki bali nawapeni ukweli tu na kuwafungua akili kwa wale mliofungwa ufahamu.Jamaa unahangaika sana. Umeahidiwa uteuzi nini?
Jitahidi mara moja moja ufanye vitu kama mtu mzima na siyo kama ufanyavyo sasa utoto na ujinga wako hapaUnachokitafuta utakipata muda siyo mrefu