Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Unaandika vitu viiiiiingi content ugolo mtupu kupiga picha ndio kuandaliwa.ww ni tumbaku kabisa.ww umezaliwa juzi unataka kujifanya fanya unamjua SAMIA.Nchi hii uchumi umeporomoka kiasi cha kutisha mabenki yako hoi kila kukicha Mabenki yanapandisha RIBA,fedha yetu inaporomoka thamani kila uchao,Alafu unakuja mjinga mmoja unasema SAMIA aliandaliwa ww ni empty head bin pampkin uwezo wako ww si kufikiri wala kuona bali ni kusifu kama kasuku,na lazima una mtindio wa ubongo ww kwa unayoyaandika.
 
Acha kupaniki
 
Hiyo ni coincidence tu wala Hakuna aliye muandaa kuwa Rais!
Hapo alikuwa Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
Mawaziri wa Kisector walikuwa kwenye hiyo hafla!
Suala la siasa ni suala la Muungano , hivyo Samia kuwa kwenye hiyo picha ilikuwa ni jambo la kawaida tu!
 
Huwezi ukaelewa mambo haya ndugu yangu. Unakumbuka na kulikumbuka Bunge la katiba? Unakumbuka Mama alikuwa ni nani katika bunge lile? Unakumbuka umahiri wake katika kuliongoza? Unakumbuka?
 
mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…