Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ondoa upuuziJitahidi mara moja moja ufanye vitu kama mtu mzima na siyo kama ufanyavyo sasa utoto na ujinga wako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa upuuziJitahidi mara moja moja ufanye vitu kama mtu mzima na siyo kama ufanyavyo sasa utoto na ujinga wako hapa
Ukatili ni nature tu sema yeye aliuleta ukabila mnoo afu watu wanaofanya upumbavu ndo alikua akiwapenda na kuwalinda.Hivi Kuna msukuma katili kama yule jamaa?
Umechukuliwa na ndugu zako kupelekwa hospitalini?Ondoa upuuzi
Hao ni wasaliti tu ndio maana waliitwa kupewa maelekezo
Unaandika vitu viiiiiingi content ugolo mtupu kupiga picha ndio kuandaliwa.ww ni tumbaku kabisa.ww umezaliwa juzi unataka kujifanya fanya unamjua SAMIA.Nchi hii uchumi umeporomoka kiasi cha kutisha mabenki yako hoi kila kukicha Mabenki yanapandisha RIBA,fedha yetu inaporomoka thamani kila uchao,Alafu unakuja mjinga mmoja unasema SAMIA aliandaliwa ww ni empty head bin pampkin uwezo wako ww si kufikiri wala kuona bali ni kusifu kama kasuku,na lazima una mtindio wa ubongo ww kwa unayoyaandika.Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uteuzi unaonbwa kwa kugalagala!!Hii siyo barua ya Maombi ya uteuzi na wala uteuzi hauombwi kwa barua
Uteuzi unaonbwa kwa kugalagala!!
[/QUO
Siyo kweli
Acha kupanikiUnaandika vitu viiiiiingi content ugolo mtupu kupiga picha ndio kuandaliwa.ww ni tumbaku kabisa.ww umezaliwa juzi unataka kujifanya fanya unamjua SAMIA.Nchi hii uchumi umeporomoka kiasi cha kutisha mabenki yako hoi kila kukicha Mabenki yanapandisha RIBA,fedha yetu inaporomoka thamani kila uchao,Alafu unakuja mjinga mmoja unasema SAMIA aliandaliwa ww ni empty head bin pampkin uwezo wako ww si kufikiri wala kuona bali ni kusifu kama kasuku,na lazima una mtindio wa ubongo ww kwa unayoyaandika.
Hiyo ni coincidence tu wala Hakuna aliye muandaa kuwa Rais!Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi ukaelewa mambo haya ndugu yangu. Unakumbuka na kulikumbuka Bunge la katiba? Unakumbuka Mama alikuwa ni nani katika bunge lile? Unakumbuka umahiri wake katika kuliongoza? Unakumbuka?Hiyo ni coincidence tu wala Hakuna aliye muandaa kuwa Rais!
Hapo alikuwa Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
Mawaziri wa Kisector walikuwa kwenye hiyo hafla!
Suala la siasa ni suala la Muungano , hivyo Samia kuwa kwenye hiyo picha ilikuwa ni jambo la kawaida tu!
mitano tenaNdugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa Mipango ya Mungu aliyemchorea Ramani na kuwapa watu maono na ndoto kwa ajili ya kumuandaa, kumpika,kumuivisha na kumkomaza kiuongozi. Ndio sababu tangia kuapishwa kwake hajawahi kuonyesha ugeni wala hofu wala uoga katika nafasi ya Urais .
Ndio sababu amekuwa mtu mtulivu na makini sana katika kuongoza Taifa letu.Ndio sababu ya kuja na 4R ,ndio sababu ya kuona Taifa halikukwama kusonga mbele na kuendelea na safari hata baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais wa awamu ya Tano.
Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l,staha na unyenyekevu katika kuzungumza,misimamo ya kiuongozi,dira, muelekeo na Maono ya kiuongozi.ndio sababu mnaona anajuwa na kuelewa vyema sana wapi Taifa limetoka na wapi linapaswa kwenda na kuelekea na wapi lipite.
Hii ndio sababu hateteleki wala kuteteleshwa na vishindo vya aina yoyote ile.ndio sababu ameendelea kuwa madhubuti na imara sana katika kuliongoza Taifa letu na kulifanya Taifa letu kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu wakati wote huku umoja wa kitaifa ukiwa imara kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu.
Rais Samia aliingia Umakamu wa Rais Na hatimaye Urais akiwa ameiva kisawasawa kiuongozi.ndio sababu alifahamu wapi aanzie na hatua ipi achukue katika wakati upi na muda upi.ndio sababu alijuwa wapi pafanyiwe mabadiliko na maboresho,Ndio sababu mnaona aliposhika madaraka ya Urais hakuwa na maneno ya kulalamika lalamika au kumlaumu mtu au kuwakatisha watu tamaa au kuteteleka au kumtupia mtu shutuma.
Bali alianza kwa kuwapatia Matumaini watanzania,kuwaonyesha nuru na mwanga ya huko tuendako na kuwaonyesha kuwa Safari ni lazima iendelee na kwa mafanikio makubwa kwa Uweza wa Mungu Mwenyewe. Alianza kwa kuwaonyesha watanzania kuwa wapo katika mikono salama na wataendelea kuwa salama na wenye amani na utulivu.Alianza kwa kuwaleta pamoja watanzania na kuwaambia sisi ni Taifa moja na sote ni wamoja na tujenge Taifa letu kwa pamoja na yeye alikuwa yupo tayari na imara kutuvusha na kulivusha Taifa.
Na kwa hakika Rais wetu Mpendwa kipenzi chetu watanzania hajawahi kutuangusha na sasa kila mtu anajiona fahari kuzaliwa Tanzania,kuongozwa na Rais Samia na kuendelea kumuunga mkono ili aongoze tena muhula mwingine hapo Mwakani. Ndio maana mnaona wote waliokuwa uhamishoni walirejea haraka sana na kuendelea na ujenzi wa Taifa na hakuna mpaka sasa aliyejutia uamuzi wake wa kurejea NchiniView attachment 3108205
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika ni mitano mingine kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.mitano tena
Subiri nikuonyesheSiyo suala la kuona bali unatakiwa ufanye haraka kupata matibabu.
Toa ujinga wako hapaUmechukuliwa na ndugu zako kupelekwa hospitalini?
Hivi lini utakomaa akili dogo?Toa ujinga wako hapa
"Sijawahi kuua mtu ila nimewahi kuua sisimizi... Nyoo.... Lione"Ndio Maana mnaona ni kiongozi mwenye utulivu katika maamuzi.l
Mjinga Mwenyewe"Sijawahi kuua mtu ila nimewahi kuua sisimizi... Nyoo.... Lione"
Nimemnukuu huyo mama ako kiongozi mjinga kuwahi kutokea bongo.