Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

hawa kwa vile wako ng'ambo darling akibeba handbag ya sweetie its ok lakini Africa unakua mtumwa. Uswahili kitu kibaya sana. My hubby always carry my handbag, na sijamfanya mtumwa
and so you have a hubby! doh ngekubebea everything, your arguments zimekaa poa sana, your signature is so inviting I couldn't help it but reading your profile..! Waganda sio hata saizi yetu, wacha waandike vyovyote vile, kile kitendo cha kutawaliwa na Idi Amini tu kinatosha kupima uwezo wao wa kufikiria.
 
Mwacheni dogo afanye yake huo ni unyamwezi. Ukipata malaya kama huyo first class lazima umtreat poa sio kama awa vigodoro wetu kina Wema.

Niggaz inatakiwa kuwatreat kijentro mabebi wetu huo ndio unyama sasa,haswa ukipata demu supa kama Zari.
 
Hii staili ya kubeba handbag ya wife nimeipenda, ipo romantic kweli, nadhani nianze mwaka 2015 kwa kubeba handbag ya wife kila tunapokuwa pamoja.
 
 
Mambo ya kizungu tu kwenye barid hata bozen anapaka lipshine sema hawa wajamaa wetu wakutoboa maskio mawil wanapendwa na madem kiukwel wanajua kupenda mfano unakuta mond anabeba poch ya mkewe,anavaa chup zake na kummaliza dem anampa mamlaka ya kumilik had mkundu wake hapo almando unakula toy mpaka kuchee kwel mfumo dume uliwabeba maseneta kbao we nyerere abebe poch ya wa pekee wake mary labda mapajan na wakat anamnyonyesha makongoro ila sio kzembe na ndio mtu wangu ambaye najua uzungu anaujua na had pope john alibusu mkono wake jul kwa heshm sio jul abusu wa papa hongera kwa wanasapot uzungu waka mattoz wanapoteza nguvu za uzaz
 
Ni mbeba mabegi ya the boss lady Zari wa Uganda. Waandishi wa uganda wamemuandika kuwa ni mtumwa wakatupia na picha hii.
 

Attachments

  • 1420801020261.jpg
    46.1 KB · Views: 369
Jana nikiwa kawe nilimbebea mchumba wangu mkoba aisee ilikuwa tabu,watu mimacho hiyo nami sikusita tena ndio nikaweka katika bega!.
 
Wivu kitu kibaya sana.

Hawana lolote hao waandishi wanasumbuliwa na wivu tu
 
Yaani kua star ni shida sana! Huyo dada kavaa vizuri anapendeza, Diamond yuko rafu as if anafagia samadi....! Angetupia hata kama huyo baunsa wake basi.!
 
Kawadanganye mapoter wenzako! miaka 31 watoto 5 na kati yao hakuna mapacha?

Mmh jamani acheni uongo!
Ana watt wa 3 wote wanaume!
Na wa 1 na 2 hawajapishana sn ni km pacha hiv....ol in ol ana 34!!
 
Mmh jamani acheni uongo!
Ana watt wa 3 wote wanaume!
Na wa 1 na 2 hawajapishana sn ni km pacha hiv....ol in ol ana 34!!

Hana 34 mamii, birthday ya mwaka juzi zari alisema ametimiza 34, so this year anaelekea 36 ( according to yeye ila wakaribu yake wanadai Ana zaidi). Kuhusu watoto ana 3 ambao anawakubali publicly na mmoja yuko mlimani alimzaa long time huwa hamuweki wazi ( as per reliable sources).
 

Tuwekee facts hiyo miaka yake aliitangazia wapi? hao 'wakaribu yake' ni kina nani na wanasema anazaidi ni miaka mingapi? huyo mtoto mmoja unaemjua wewe pekeako alimzaa lini?wapi?na nani?...Otherwise unge-declare interest kwanza
 
Zari kama sikosei is 31 na Diamond 24, saa ngapi Zari atamzaa mtoto kama Diamond? Age is just numbers... In case you didn't know
Tena hata kama huyo Zari ana umri sawa na mama ake Diamond, hao akina Kill 3 inawahusu nini? Yeye ndo keshaamua, kama mwanaume anavyoamua kutoka na binti mdogo yeye kaamua kutoka na mwanamke aliyezidi umri.... tatizo liko wapi! Watu badala ya kufanya mambo ya maana wanaishia kuingilia maisha binafsi ya watu... kama kuna aibu basi ndo hii ya kuingilia maisha binafsi ya mtu ambae wala sio ndugu yako!!

Hao waandishi wa Uganda nao wanaonesha ni jinsi gani walivyo vilaza. Badala ya kutoa hoja za msingi wanaishia kutaja mabegi... ni kuishiwa kama walivyoishiwa wengine baada ya kuongea kila viroja hivi sasa mtu mzima utasikia oh, Diamond hana ubavu wa kumpa mwanamke mimba... aaaargh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…