BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
and so you have a hubby! doh ngekubebea everything, your arguments zimekaa poa sana, your signature is so inviting I couldn't help it but reading your profile..! Waganda sio hata saizi yetu, wacha waandike vyovyote vile, kile kitendo cha kutawaliwa na Idi Amini tu kinatosha kupima uwezo wao wa kufikiria.hawa kwa vile wako ng'ambo darling akibeba handbag ya sweetie its ok lakini Africa unakua mtumwa. Uswahili kitu kibaya sana. My hubby always carry my handbag, na sijamfanya mtumwa