Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

Tuwekee facts hiyo miaka yake aliitangazia wapi? hao 'wakaribu yake' ni kina nani na wanasema anazaidi ni miaka mingapi? huyo mtoto mmoja unaemjua wewe pekeako alimzaa lini?wapi?na nani?...Otherwise unge-declare interest kwanza
Umri sahihi wa Zari ni miaka 34... baadhi ya watu waliosoma UG miaka ya mwanzoni ya 2000 wanamfahamu Zari... she's only 34 hayo mengine ni habari za magazeti sawa na wanavyosema Wema ni kijeba wakati kwa wanaomfahamu Wema wanafahamu hata miaka 18 ambayo aliitaja 2006 wakati anashiriki Miss Tanzania alidanganya... in fact alikuwa chini ya hapo... i still remember her childish face ile 2006 but today wapo wanaosema Wema ni mkubwa sana kwa Chibu.
 
Zari kama sikosei is 31 na Diamond 24, saa ngapi Zari atamzaa mtoto kama Diamond? Age is just numbers... In case you didn't know
Tena hata angekuwa na 45, it's Diamond's business and nobody's... anyway, to keep the records correct, she's 34.
 
Correction!uswahili si kitu kibaya waswahili tuko poa tu ,sie waswahili wa zenji tunawatreat wachuchu wetu kama malkia,tunaenda "marikiti" na kuwafanyia midekezo yoote habibt wetu!

Hahahaa imebidi nicheke, vizuri sana
 

Angekuwa babu wa miaka 70 anatoka na Zari wangekaa kimya, upuuzi mwingine wa ajabu sana.
 
Last edited by a moderator:
Wanapendeza, napenda life style yao.
 
Angekuwa babu wa miaka 70 anatoka na Zari wangekaa kimya, upuuzi mwingine wa ajabu sana.
Na Zari tena, sema na Lulu Michael ambae she's only 20; bado wangeona poa!! Tena mademu wanaoponda hii kitu mi nawaona kama ni watu wa ajabu... is like hawajitambui thamani yao coz' wengi wao wanaona sawa kwa mwanaume mkubwa kabisa kutembea na mwanamke mdogo aliyemzidi hata miaka 20... kama hili wanaona sawa, then it's concluding kwamba thamani ya mwanaume hata kama atakuwa ni mzee bado inaweza kuwa sawa na thamani ya mwanamke kijana aliye bado mbichi lakini mwanamke aliye mkubwa thamani yake ni ndogo ukilinganisha
na ya mwanaume kijana! Mawazo kama haya tunapaswa kuwa nayo wanaume ambao tayari kutokana na majivuni yetu tunajiona tuko juu ya wanawake lakini mwanamke nae anapokuwa na mawazo sawa na haya inaonesha ni namna gani dada zangu wana safari ndefu ya kujitambua na ndio maana wengi wao wakishafika 30+ hawana mume wanaanza kuwa stressed kwa kuwa wanaamini wakishafika 30+ basi wanakuwa sub standard kiasi cha kuwa tayari kuzolewa zolewa na mwanaume yeyote yule na in fact, hapo wanatarajia mababu wa 50+...
 

Diamond Platinumz Turned Into Slave


Tanzanian singer Diamond Platinum’s singing career is in jeopardy following his intimacy with Kampala’s top socialite, desert queen, bed hopper and man snatcher Zari Hassan.










Kumbe Dimond hayupo peke yake jamani. Acheni wivu. Ukiona mwanamume anafanya hayo ujue anapata mambo matamu kupitiliza. Hata mimi jamani msije mkanishangaa siku mkiniona MZIMU nimebeba Mabegi yote wakati my woman amebeba smart phone yake tu!
 

Hili povu lote la nini? Mama yako akitoka na kijana wa umri wako utajisikia amani?
 
Hiyo ni picha tu lakini ukweli ni kuwa nyuma ya pazia diamond kageuzwa mtumwa huko Uganda!
 
Hili povu lote la nini? Mama yako akitoka na kijana wa umri wako utajisikia amani?
Matola jifunze kujiheshimu... we ni mtu mzima sana kuongea mambo ya kise'nge senge! We kuna siku nimewahi kumfananisha mama ako na mtu yoyote humu? Narudia... mambo ya kiseng'e senge tafuta wengine sio mimi manake inaelekea kwavile ni mtu unayependa za lugha za hovyo hovyo basi unataka kuleta mambo yako kwa kila mtu hata wale ambao waliamua kukuheshimu ingawaje hustahili heshima hizo! Na kaa ukifahamu watu tuna-pay respect kwa watu wanaojiheshimu lakini wakishindwa we don't care who's along the way! By the way, we huyo Zari ni mamako? Au umepewa kibarua na familia ya Zari kumsemea? Ikiwa Zari mwenyewe anayeto.mbwa anaona okay, wewe kinakuuma nini wakati hata undugu na huyo Zari hauna! Kajiunge team moja na King X basi uanze kuchambana na mademu kwenye social networks manake inaelekea unapenda sana hayo mambo.
 

Mkuu, achana nae huyo malalamiko yake yalushaletwa ata na kaka yake samweli kiwelu.....nanukuu


" Fredrick Samuel.?
hawa wazee wetu wanauliza Mbona
toka umeondoka nyumbani mpaka
leo Zile pesa hujarudisha?
Hujui km Umetuacha na hali ngumu
sana kuondoka na mtaji wote wa
mzee?
Nimeamua kuweka Picha kabisa ili
labda roho yako Irudi fredrick.
Halafu unaamua kujiita Matola
kwa nini?
We unafahamu Mama kahifadhiwa
tu na huyu bwana. Na hali yakw
inakuwa mbaya Kila siku
Unavyozidi kuchelewa kuzirudisha
hizo pesa.
Naskia Unakula Mirungi kila siku
na Kina FAHMI mwarabu .
Mimi km ni ndugu yako nakuomba
rudisha huo mtaji wa baba wa shs
600,000 uliokwiba. Maisha yanazidi
kuwa magumu mno hapa
nyumbani.
Nakuomba sana.
Halafu mwanao SAMIRA
umemuacha hapa Sinza hana hata
ada ya shule. Umezaa na
mwanamke mitaani hata hajulikani
mamake yuko wapi. Na juu ya
kuwa mwanao yuko hapa lkn pesa
umeondoka nazo.
Wako kakako mpendwa Samuel"
 
Haya ndo mambo yanayomfaa Matola manake hata mtu ukijitahidi namna gani ujaribu kumuheshimu lazima ipo siku atakuletea maneno machafu hata kama hujamfanya chochote... mwenyewe siku hizi anajiita eti celeb halafu wala hajiulizi hao wote anaosema wanampa umaarufu ni watu wanaomponda... lakini alivyo mtu wa ajabu, hata wale walioamua kujitenga na kashfa dhidi yake lazima atatafuta sababu tu za kuwapanda kichwani...


Anyway, thanx for advice manake kubishana na mtu kama huyu lazima wote mtaonekana kama yeye tu...
 
Last edited by a moderator:

Huyo matola amemtapeli baba yake laki sita na kutelekeza mtoto ana laana achana nae
 
Niwiye radhi kaka, angalau sasa umeona uchungu wa mama. Zari ni mama wa watoto watatu think about the kids.
 
Tuwekee facts hiyo miaka yake aliitangazia wapi? hao 'wakaribu yake' ni kina nani na wanasema anazaidi ni miaka mingapi? huyo mtoto mmoja unaemjua wewe pekeako alimzaa lini?wapi?na nani?...Otherwise unge-declare interest kwanza

I decide not to present any evidence to a fool like u. Don't try this hard to showcase ur presence wherever u see my comments. Mbona Mimi nimeshakuignore? Kwanini usikubali na kuelewa pale mtu anapoamua kutotaka uwepo wako? Why? Binadamu yoyote mwenye akili anayasoma mazingira ndipo afanye jambo ila wasio na akili ndio hawashughulishi akili zao. May be wewe ni mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…