Kumsaidia nguvu ya chama na mafanikio ya chama no matunda ya ruzuku, unayomtuhumu nayo uongo m.kiti was Chama Bora zaidi Tanzania. Tunamshukuru kwa kutumia vizuri ruzuku.Naona umepaniki brother.polee sana πππ
Kunywa maji tu upumzike. Kama CAG wakwenu nyie hajaona ulaji ruzuku wa mbowe, wewe ni nani useme ivyo?ππππ
"WAMELEGEAA!!" in Lissu's voice..Ulipowauliza wamesema sababu ni zipi?
Siasa ni sayansi bwashee!
100% correct, leo ndio nimeamini CCM wanawaogopa CDM. Ila walitakiwa kuyaona haya maana mara ya mwisho walitoka kushinda 57% kutoka 80% huko hiyo ishara tosha kuwa mwendo wa kushuka ni mkali sana na majiji makubwa walishakuwa wanapoteza ishara ni nyingi sana na uhakika wanajuwa hata wao ila badala ya kuangalia nini sababu ili wajirudi wanatumia njia zilezile ambazo iko siku zikishindwa watapotea zaidi ya KANU watapotea kabisa...CCM wanatafuta mbinu za kudeal na ACT + CHADEMA kwenye ushirikiano wao
hiyo povu lote na matusi bila shaka imekuuma sana ,vumilia tu pimbi mkubwaC
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Sema, kwetu ni unaa, ni ubabe, ni vurugu,na ni kutumia nguvu tulizonazo aka.mbeleko.Siasa ni sayansi bwashee!
I smell something fishy!Kunani tena? Au ndio yale ya siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
Kwa wanayofanya hawastahili hata Dakika moja zaidi.100% correct, leo ndio nimeamini CCM wanawaogopa CDM. Ila walitakiwa kuyaona haya maana mara ya mwisho walitoka kushinda 57% kutoka 80% huko hiyo ishara tosha kuwa mwendo wa kushuka ni mkali sana na majiji makubwa walishakuwa wanapoteza ishara ni nyingi sana na uhakika wanajuwa hata wao ila badala ya kuangalia nini sababu ili wajirudi wanatumia njia zilezile ambazo iko siku zikishindwa watapotea zaidi ya KANU watapotea kabisa...
Naona ndy mbinu waliyopanga kuitumia, bahati nzuri na wao Chadema na mwenzake wanausoma mchezoCCM wanatafuta mbinu za kudeal na ACT + CHADEMA kwenye ushirikiano wao
Hivi vyama vya kishenzi
Wamechelewa, wakiwa na akili wasideal nao kabisa, vinginevyo watakuwa wamejiharibia.CCM wanatafuta mbinu za kudeal na ACT + CHADEMA kwenye ushirikiano wao
Baba yenu Magu mbona anaogopa hilo?C
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Jadiri hoja tagaC
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Hivi vyama ni kama "tissue" ambazo zimekwishakutumika. Na wala hakuna ujanja zaidi ya kuzipeleka kule kunakostahili. Kwa mara nyingine tena tunashuhudia kukosa umakini kwa wanamkakati wa CCM.