Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

I smell something fishy!

Nahisi ni mbinu za NEC hizo za kutafuta justification za kuwazuia ACT na CHADEMA, manake kwa sasa kila wakijaribu kupinga kuungana mkono, wanajikuta wanaonekana maboya hata mbele ya maboya kwa kutumia double standard!!!

Hata hivyo, haitawasaidia kwa sababu CHADEMA na ACT hawaungani, bali upande mmoja unamuunga mkono wa mtu wa upande mwingine!
Yaani ktk hali ya kawaida na kwa mtu mwenye kuujali utu wake, heshima yake na mwenye kufikira Image yake in future,
Angejiuzuru urais, ameharibu na anazidi kuharibu
 
Yaani ktk hali ya kawaida na kwa mtu mwenye kuujali utu wake, heshima yake na mwenye kufikira Image yake in future,
Angejiuzuru urais, ameharibu na anazidi kuharibu
Yaani aibu tupu!!

Na mwaka huu I doubt kama hawa jamaa wasivyokimbia na masanduku ya kura au kuzima umeme wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea!
 
Yaani aibu tupu!!

Na mwaka huu I doubt kama hawa jamaa wasivyokimbia na masanduku ya kura au kuzima umeme wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea!
Haisaidii kuteleza kwa miti
 
Hawa TLP na wachumiatumbo wenzao ni wapuuzi wa kutupwa aisee. Haiwezekani hawa mabwege wajifanye kuunga mkono chama cha majambazi (CCM) halafu leo hii wajiondoe wakati kila kukicha tunajua wanajikomba kwa CCM!
 
Si wafute tu vyama,,hakuna haja ya kujitetea sana,maneno mawili tu,,KA na TA ...mnazunguka point sana
 
Hivi Hawa akina Nyahoza Sheria walisoma Vyuo gani mbona Mtu anakuwa KILAZA hivi?
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa havijafuata kanuni na sheria za uchaguzi.

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sity Nyahoza, alisema hayo jana wakati akihojiwa na Radio One kwenye kipindi cha Kumepambazuka...
Too late to justify their (NEC) action. Damage has already been done.
 
Back
Top Bottom