NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Hahahahahahha ,,sio kapolepole?Kene hii picha huyo anaeruka 'sambasoti' atakuwa ni Jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahha ,,sio kapolepole?Kene hii picha huyo anaeruka 'sambasoti' atakuwa ni Jiwe.
AhhaaaaVp mbona umeshapanic au jamaa wamekugusa panapo..?? Umesahau kumtaja na yule aliyekula rambirambi.
Lissu anasema serikali haijawahi kuwa na shida na ACT wala chama chengine zaidi ya Chadema na Cuf tu,kwa maana hao Chadema na Cuf ndiyo wapinzani pekee.I smell something fishy!
Nahisi ni mbinu za NEC hizo za kutafuta justification za kuwazuia ACT na CHADEMA, manake kwa sasa kila wakijaribu kupinga kuungana mkono, wanajikuta wanaonekana maboya hata mbele ya maboya kwa kutumia double standard!
Hata hivyo, haitawasaidia kwa sababu CHADEMA na ACT hawaungani, bali upande mmoja unamuunga mkono wa mtu wa upande mwingine!
Povu lote Hilo la nini ?Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Na hayo mabango yako sehemu nyingi sana, tume watasema sio jukumu lao kuyashusha.hii hapa
Tayari limeshaleta athari Kwa muda wote tangu limewekwa .hii hapa
And what is your point?! Au hoja yako inahusiana vipi na nilichoandika?!Lissu anasema serikali haijawahi kuwa na shida na ACT wala chama chengine zaidi ya Chadema na Cuf tu,kwa maana hao Chadema na Cuf ndiyo wapinzani pekee.
Ni kwamba NEC haiwezi kutafuta mbinu za kuzuia ACT kwa sababu ACT si wapinzani haijawahi kuwa na shida na serikali,kwahiyo point ACT haiwezi kufanya jambo ambalo litakuwa pigo kwa ccm na serikali yake hivyo NEC haina shida yeyote na ACT.And what is your point?! Au hoja yako inahusiana vipi na nilichoandika?!
Net za hao unaowaita mabeberu ndo zinakusaidia wewe na "mazazi" yako. Msitukane mamba kabla hamjavuka mto. Au ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Hivi watu wanazungumzia ACT au wanazungumzia "muungano" wa ACT na CHADEMA?! Na wanazungumzia ACT na CHADEMA kwa sababu CHADEMA wametangaza kumuunga mkono Maalimu Seif kule Zanzibar na hapa ililetwa habari kuhusu Zitto kutangaza makubaliano kati ya ACT na CHADEMA kwamba ACT imuunge Tundu Lissu!!Ni kwamba NEC haiwezi kutafuta mbinu za kuzuia ACT kwa sababu ACT si wapinzani haijawahi kuwa na shida na serikali,kwahiyo point ACT haiwezi kufanya jambo ambalo litakuwa pigo kwa ccm na serikali yake hivyo NEC haina shida yeyote na ACT.
Umenikumbusha mbali sana, mwaka '47. Kwa hiyo anawachezesha Wagagakikikoko!Lissu wachezeshe!!!View attachment 1592647
Hii Nchi ina Viongozi wa ovyo sana. Hivi wanapataje hivi vyeo?Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa havijafuata kanuni na sheria za uchaguzi.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sity Nyahoza, alisema hayo jana wakati akihojiwa na Radio One kwenye kipindi cha Kumepambazuka...
Hivi yule takukuru wao bado anaendelea kuchunguza ulaji ruzuku aliodai Lijualikali!? Au kakosa ushahidi!? Wajinga sana hao uchwara wa ccm.Naona umepaniki brother.polee sana 😂😂😂
Kunywa maji tu upumzike. Kama CAG wakwenu nyie hajaona ulaji ruzuku wa mbowe, wewe ni nani useme ivyo???😂😂😂😂