Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Jambo moja la uhakika ni akili ya Mbowe ni kubwa kuliko yako.
 
Wewe w
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Wewe kwanza whats your IQ level kabla hatujaanza kujadili aliki ya Mbowe??
 
Havikuzuiliwa na NEC kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo! Hawa wa CCM wamejitoa! Wenyewe kwa hiari baada ya kumkampenia kwa muda mrefu, huu ni udhaifu wa dhahiri wa NEC.
 
Sawa they know how to dribal'. But we are not going to dance to their tune
 
Hii taarifa iwafikie ACT na CHADEMA kwa namna ya kipekee.

Naona wanatafuta njia ya kudeal nao kutumia reference hii.
 
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Kinachokupa kiburi wewe na ccm yako ni ubovu wa katiba... Mfumo mbovu kutumia dola kurud madarakani ila sio box la kura..
 
Nawakumbusha tu watanzania wenzangu kuwa hii michezo na masihara katika kutafuta uongozi bora kwa taifa letu yote ni kwa gharama ya maisha yetu.
 
Siasa za maji taka,zishapitwa na wakati.kiukweli serikali nzima hakuna Mwenye akili kama TL.wengi wanalinda vibarua vya hisani utadhani hawana elimu.mbona std seven tunadunda mtaani na maisha yako fresh I kimtindo mtindo.PhD holder unamkuta Yuko kama mbwa koko mflani kazini.wanateseka.Katiba mbovu na watendaji wa serikali wanapatikana kiubovu ubovu.

Maendeleo badae xana.me ni mpenzi wa Sera nzuri za mgombea yeyote. Ila kwa hali ilivyo,ccm inatakiwa iachie nchi wengine wafanye tuone. Nchi hii,ukiwa msomi ukaajiriwa serikalini unakuwa mtumwa.

Amigo.
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa havijafuata kanuni na sheria za uchaguzi...
Kwanini mabango yao yalikuwa napicha ya mgombea Urais wa polepole wakati utaratibu ulikuwa hajakamilika
Je hatua gani zimechukuliwa zidi ya vyama vilivyoweka mabango yao nakuonganisha namgombea urais wa chama Mr polepole
 
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
Kula ruzuku yenyewe ni akili. Kama wewe unaakili kula ruzuku kama yeye.
 
hii hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1601556108690.jpg
    FB_IMG_1601556108690.jpg
    48.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom