Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Naona umepaniki brother.polee sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kunywa maji tu upumzike. Kama CAG wakwenu nyie hajaona ulaji ruzuku wa mbowe, wewe ni nani useme ivyo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumsaidia nguvu ya chama na mafanikio ya chama no matunda ya ruzuku, unayomtuhumu nayo uongo m.kiti was Chama Bora zaidi Tanzania. Tunamshukuru kwa kutumia vizuri ruzuku.
 
Hata hivyo, Vyama hivi havijawahi kukiongezea ama kukipunguzia chochote Chama cha CCM,

Na ukweli ni kuwa, hata wakijiondoa sasa, Ila Kura zao wataipigia CCM, si wenyeviti tu, na wanachama wao wote pia
 
CCM wanatafuta mbinu za kudeal na ACT + CHADEMA kwenye ushirikiano wao
100% correct, leo ndio nimeamini CCM wanawaogopa CDM. Ila walitakiwa kuyaona haya maana mara ya mwisho walitoka kushinda 57% kutoka 80% huko hiyo ishara tosha kuwa mwendo wa kushuka ni mkali sana na majiji makubwa walishakuwa wanapoteza ishara ni nyingi sana na uhakika wanajuwa hata wao ila badala ya kuangalia nini sababu ili wajirudi wanatumia njia zilezile ambazo iko siku zikishindwa watapotea zaidi ya KANU watapotea kabisa...
 
C
Mbowe ana akili gani?. Kula ruzuku na faru John?. Hata muungane wote na beberu zenu pia. Kipigo kipo pale pale.
hiyo povu lote na matusi bila shaka imekuuma sana ,vumilia tu pimbi mkubwa
 
Kunani tena? Au ndio yale ya siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
I smell something fishy!

Nahisi ni mbinu za NEC hizo za kutafuta justification za kuwazuia ACT na CHADEMA, manake kwa sasa kila wakijaribu kupinga kuungana mkono, wanajikuta wanaonekana maboya hata mbele ya maboya kwa kutumia double standard!

Hata hivyo, haitawasaidia kwa sababu CHADEMA na ACT hawaungani, bali upande mmoja unamuunga mkono wa mtu wa upande mwingine!
 
100% correct, leo ndio nimeamini CCM wanawaogopa CDM. Ila walitakiwa kuyaona haya maana mara ya mwisho walitoka kushinda 57% kutoka 80% huko hiyo ishara tosha kuwa mwendo wa kushuka ni mkali sana na majiji makubwa walishakuwa wanapoteza ishara ni nyingi sana na uhakika wanajuwa hata wao ila badala ya kuangalia nini sababu ili wajirudi wanatumia njia zilezile ambazo iko siku zikishindwa watapotea zaidi ya KANU watapotea kabisa...
Kwa wanayofanya hawastahili hata Dakika moja zaidi.
 
Hawa majamaa ni wajinga hawajui wanachofanya ,wameunga mkono CCM huku wao hawajasimamisha wagombea ,mwisho wa siku wamejitoa wao bado wakiwa hawana wagombea ,wapumbavu kweli
 
Hivi vyama ni kama "tissue" ambazo zimekwishakutumika. Na wala hakuna ujanja zaidi ya kuzipeleka kule kunakostahili. Kwa mara nyingine tena tunashuhudia kukosa umakini kwa wanamkakati wa CCM.

Kila ambacho wanakifanya kimejaa kasoro nyingi za kiufumdi, na hatimaye kinawarudia wao wenyewe. Kimbilio pekee lililobaki kwao ni mbeleko kutoka kwa msajili wa vyama, tume ya taifa ya uchaguzi na jeshi la polisi. Suluhisho kwao sasa ni kufanya hujuma za wazi dhidi ya vyama makini vya upinzani.
 
Back
Top Bottom