Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kumsaidia nguvu ya chama na mafanikio ya chama no matunda ya ruzuku, unayomtuhumu nayo uongo m.kiti was Chama Bora zaidi Tanzania. Tunamshukuru kwa kutumia vizuri ruzuku.Naona umepaniki brother.polee sana πππ
Kunywa maji tu upumzike. Kama CAG wakwenu nyie hajaona ulaji ruzuku wa mbowe, wewe ni nani useme ivyo?ππππ