Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

Sasa kuzungumzia muungano wa ACT na Chadema si ndio umeizungumzia ACT ambayo Lissu anaona ni moja ya chama kinachotumika tu kuvuruga upinzani kwamba hakijawahi kuwa na shida na serikali. Kwa sababu kwa maelezo ya Lissu alisema kuwa 2015 ACT na aliyekuwa mgombea wao wakati huo Anna Mghwila,ni kwamba hawakuwa wapinzani bali waliwekwa tu ili kupambana na Lowassa. Na ndiyo maana Mghwila akaja kuzawadiwa cheo cha ukuu wa mkoa.

Ndio maana nasema hiyo NEC haiwezi kusumbukwa akili na huo muungano wa vyama ambao chama kimoja ni pandikizi la chama tawala.
 
Naona unazidi kubadilisha magoli tu... twende taratibu; ulichosema ni hiki:
Lissu anasema serikali haijawahi kuwa na shida na ACT wala chama chengine zaidi ya Chadema na Cuf tu,kwa maana hao Chadema na Cuf ndiyo wapinzani pekee.
Kisha ukasisitiza:-
Ni kwamba NEC haiwezi kutafuta mbinu za kuzuia ACT kwa sababu ACT si wapinzani haijawahi kuwa na shida na serikali,kwahiyo point ACT haiwezi kufanya jambo ambalo litakuwa pigo kwa ccm na serikali yake hivyo NEC haina shida yeyote na ACT.
Nami nasisitiza, issue sio ACT, CHADEMA wala CUF bali issue ni collabo ya CHADEMA na ACT!!

That's one but two, mwenye tatizo na hiyo collabo sio Lissu, CHADEMA, CUF or anyone but NEC!

And three, kwa mujibu wa maelezo yako anayeona ACT inatumika kuvuruga upinzani ni Lissu wakati mwenye tatizo na collabo sio LIssu bali NEC... hivyo ni vitu viwili tofauti!!

On top of that, this politics! Again, this's politics... it's politics ndo maana Lissu huyo huyo unayedai kasema ACT inatumika kuua upinzani ndie Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kutangaza hadharani kwamba CHADEMA inamuunga mkono Maalimu Seif; yaani Maalimu Seif yule yule kutoka chama kile kile cha ACT!

It's politics ndo maana Magufuli yule yule aliyekuwa anatajwa kwamba kiongozi mbovu na watu kama akina Kitilla Mkumbu, ndie Magufuli huyo huyo ambae hivi sasa anasifiwa na akina Kitila Mkumbo wale wale!!

It's politics ndo maana CHADEMA ile ile ambayo iliimba miaka 8 kwamba Lowassa ni FISADI ndiyo CHADEMA ile ile ambayo mwaka 2015 ilizunguka Tanzania mzima kumnadai Lowassa yule yule waliyekuwa wanasema fisadi!!

It's politics!
 
Msajili wa Vyama hapaswi kuwasemea TLP na UDP.
vyama husika vinapaswa kutoa tamko wao wenyewe.

Pia Muandishi wa habari naye ni kichwa boga kwasababu ame-rely kwenye taarifa ya msajili wa vyama badala ya kwenda kuwahoji TLP na UDP baada ya maelezo hayo ya Msajili.
 
Point katika haya maelezo yako kama ulivyosema kuwa ni politics tu.
 
Sawa wajitowe tu. Ila sisi ACT hatutaacha kumpigia debe Lissu. Kama ni kosa waanze na UDP na TLP kisha ACT
 
Point ni kwamba shida ya NEC ni collabo ya CHADEMA na ACT, politics ni hayo aliyoongea Lissu!!!
2015 vyama vingi viliungana na bado haikuwazuia NEC kufanya jambo lao,sasa ndio itakuwa collabo ya vyama viwili tu ndio iwe shida kwa NEC?

Ni politics tu.
 
Hata hivyo, Vyama hivi havijawahi kukiongezea ama kukipunguzia chochote Chama cha CCM,

Na ukweli ni kuwa, hata wakijiondoa sasa, Ila Kura zao wataipigia CCM, si wenyeviti tu, na wanachama wao wote pia
kwani hiyo chupa umeikalia upande upi? kwa matakwoni au upande wa mdomoni? ila ulivyofura itakuwa umeikalia upande wa chini. pole sana bibie, maumivu yatapoa tu kama alivyopona ELITWEGE. Nae ameshawahi kalia upande huo huo uliokalia wewe
 
Hahaaaa acha hizo
 
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS
 
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS VICHWA VYA WATU VIMEJAA MBALIMBALI NA KATHALIKA


UTAWALA WA CHAMA KIMOJA ILIKUWA KUORDER TU

1. ATEMBEE UCHI

2. FUKUZA KAZI

3. CHANA NGUO

4. LAZIMA ANIPENDE MIMI SIYO YULE

5. HATAKIWI KUOA/KUOLEWA

6. AFIKIRISHWE UJAMAA PEKEYAKE

7. HAFIKIRI TENA

8. TUNATAKA MOYO

9.TUNATAKA INI

10. ERROR TERM


WATU WANATEKELEZA KWA SABABU NI RAHA KUWA KARIBU NA KIONGOZI
 
Porojo tupu.
 
Mbona Jana nilimwona Cheyo akisisitiza kuwa ataendelea kumwunga mkono mgombea wa CCM?

Ina maana tume walidanganya uma?
 
Hawaja jiondoa ayo magazeti ni kanjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…