TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ?

Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?

Screenshot_2023-09-03-23-47-12-1.png
 
Nimekuonya mara nyingi kuhusu matusi , unaweza kutoa hoja bila matusi na ukaeleweka tu , vinginevyo utabadili sana ID kwa kutandikwa ban za kijinga , siku ukijua mimi ni boss wa boss wako utajisikiaje ?
Nsamehe boss wangu, kumbe ndo maana huu n mwaka wa saba bado najitolea kwenye kampuni yako bila kuajiriwa kumbe sababu n kukutukana ww boss wa maboss zangu.
Ila cjawahi kubadili ID na BAN nazopigwa n kutokana na kusema ukweli ambao ht uongozi wa JF hawautak kuusikia.
 
Nimekuonya mara nyingi kuhusu matusi , unaweza kutoa hoja bila matusi na ukaeleweka tu ,vinginevyo utabadili sana ID kwa kutandikwa ban za kijinga , siku ukijua mimi ni boss wa boss wako utajisikiaje ?
N kweli naweza kutoa hoja bila matusi japokuwa sijakutukana.
Na ww tambua kuwa unaweza kuandika mada bila kuleta unafiki na uongo ili tuu kusifia chadema yako, ila kwakuwa JF umekuleta kwa lengo la kuisifu chadema ndo maana wakakupa tuzo Bc unaifanya hy kazi kwa weledi sana na ww n bonge moja la mnafiki na mmbea.
 
Anakotupeleka huyu Mama ni Mungu tu anayejua jinsi atatuokoa na hili Jinamizi.

Eeh Mungu Tuokowe na hili Janga la kitaifa.watoto wako tunateseka,sio lazima tutumie njia ya Gabon Viper......

Fanya jambo moja tu na Roho zetu zitaponywa.
Amen [emoji120].
 
Back
Top Bottom