MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Huyu Mbaga ana ujinga sana muda wote ni Lugha ya Matusi kuna haja ya kumripoti aache ujinga wake arudi FB alikokuwaNimekuonya mara nyingi kuhusu matusi , unaweza kutoa hoja bila matusi na ukaeleweka tu , vinginevyo utabadili sana ID kwa kutandikwa ban za kijinga , siku ukijua mimi ni boss wa boss wako utajisikiaje ?