BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni.
Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio imepinda kisawa sawa chini ya MWanamke mmmoja jivi alie pinda hasa. Huwezi wakuta wanaenda kumpigia Ruto Magoti na kulia lia mara wapewe Gari na Ruto.
Hii Law Bar association ya Tanzania haina tofauti na Chama cha Walimu au hata TUKUTA, daily wakipata chansi ya kukutana na Rais ni kulia lia shida tu.
Sasa kama Wanasheria wananenda kulia shida kwa Raisi mara wapunguziwe Mzigo wa kodi, Mara Gari, vipi wataweza pambana na uvunjivu wa haki katika nchi hii? Vipi raia wa kawaida nani atenda kuwaliliwa wapunguziwe mizgo wa kodi?
Mwamabukisi ni kama alisha lishwa asali kitambo sana angalia alivyo kuwa moto na alivyo sasa hivi. Kimya.
Mwambukusi aliongoza kampeni ya kumnanga sana Mbowe kwamba ni mlaini sana kwa Raisi, ila yeye hajioni kabisa, Nyani haoni Kundule lake.