TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

Kama polisi waliwakamata watu na kuwaweka ndani, ni lazima watu hao walifanya uvunjifu wa sheria za nchi hivyo wawafungulie mashitaka, kama polisi haiwafungulii mashitaka ni wazi kwamba ni vitendo vya uonevu wa polisi kwa raia hasà wa vyama vya upinzani wanapokuwa wanafanya shughuli zao za kisiasa.
 
Shughuli zao za siasa za vurugu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…