Kujiwekea akiba yako mpaka waziri aje akushauri?Yaani serikali INA tabia ya kuficha ficha taarifa hadi kero.
Bashe anaambiwa ashauri wakulima wasiuze chakula nje anajimwambafy.
Wanasubiria tufe njaa waombe misaada na mikopo wanunulie magari. Failed leadership.
Akiba tuliweka lakini naona muda tuliojikadiria hesabu zimegoma.Kujiwekea akiba yako mpaka waziri aje akushauri?
Mkuu shwari nakutafuta kienyeji emu njoo PM ukiwa na time ...