TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

Kwanini wasiende kuomba msaada Dubai wakatumia zile chemical za kuzalisha mvua na hivi kwetu green tutapata mvua nyingi tu
 
Naandika nafuta,naandika nafuta lkn we acha tuuuu.
 
Hii ni November, and this is a land of kilimanjaro, a blessed land, where the Holy iron box hidden, on top, rain must came, at the end of this month, so it be, Amen.
 
Yaani serikali INA tabia ya kuficha ficha taarifa hadi kero.
Bashe anaambiwa ashauri wakulima wasiuze chakula nje anajimwambafy.

Wanasubiria tufe njaa waombe misaada na mikopo wanunulie magari. Failed leadership.
Kujiwekea akiba yako mpaka waziri aje akushauri?
 
Tabiri (mimi napenda kuziitâ tafiti) za hali ya hewa huwa zinaenda op mara nyingi tu. Mfano msimu uliopita walisema mvua zitakuwa haba sana wakawa wanakomalia watu walime mazao ya aina fulani fulani matokeo yake ghafla kukachange na mvua zikagonga karibia kupitiliza wakabaki kutupa tahadhari kila siku tena

Tanbihi;
Sipingani na tafiti ila ninachomaanisha ni kwamba MUNGU YUPO na no-one knows tomorrow ila YEYE

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom