Siyo maeneo yote dodomaDodoma-mpwapwa kuna mvua tangu jana usiku mpaka muda huu
Naaam chief, nipo mpwapwaSiyo maeneo yote dodoma
Imeanza Alfajiri na umeme wamekatakataKwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia
Je kuna mvua mikoani huko mliko au ni utapeli wa kawaida wa TMA
Huu uzi wako umekaaa kinyumbu sana,wenye D 2 tumeuelewa!Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia
Je kuna mvua mikoani huko mliko au ni utapeli wa kawaida wa TMA
Hàpàna hakuna mvua ni manyunyu kidogoSiku hizi tunaomba mvua inyeshe tutatue changamoto ya maji na sio tuone panapovuja.
Tangu saa 11 alfajiri inanyesha
Mkoa gani?Hàpàna hakuna mvua ni manyunyu kidogo
TMA Ina vifaa vya kisasa now,kwa Africa mashariki na kati ni Tanzania tu mwenye vifaa ivyo vya kisasa.Mvua inanyesha asubuhi hii mkoa nilipo TMA imetabiri vema haijakosea
Aisifiye mvua imemnyea.Pwani mvua si kwamba inanyesha bali inakunya imeanza saa tisa za usiku ni noma sana.