Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Angalau tumepata maji ya kufulia na kuoshea vyombo
Ni muda wa kilimo cha watoto sasa 😹Huku dasalama inanyesha bado
Kama una hela lakiniNi muda wa kilimo cha watoto sasa 😹
Sio mvua za kilimo. Zinanyesha bila mpangilio unaofuata misimu ya kawaida ambayo inngesababisha wakulima wapate mazaoSasa Madelu aliyesema hakutakua na mvua hizi ni sharubu zake?
Kama Morogoro imenyesha, basi kero ya Maji Dar na Pwani imeisha. Kwasababu mvua ya Morogoro ndio yanajaza Ruvu na Wami. Mvua ya Dar na Pwani inaenda Baharini tu labda tufanye RWHAngalau tumepata maji ya kufulia na kuoshea vyombo
NASA walishatowa utabiri wa wiki mbili za mvua, wanadesa huko.TMA Ina vifaa vya kisasa now,kwa Africa mashariki na kati ni Tanzania tu mwenye vifaa ivyo vya kisasa.
Mbona unawaangushia debe la aibu ya kudesaNASA walishatowa utabiri wa wiki mbili za mvua, wanadesa huko.
Kweli bila ridhaa yake Mvua isingelinyeshaTunamshukuru mama samia kwa kuleta mvua
Huko ndo penyewe sasaMoshi huku tangu asubuhi mpaka sasa haikati
Hizi mvua hazina mpangilio?Sio mvua za kilimo. Zinanyesha bila mpangilio unaofuata misimu ya kawaida ambayo inngesababisha wakulima wapate mazao
Moro hakuna mvuaKwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia
Je kuna mvua mikoani huko mliko au ni utapeli wa kawaida wa TMA
Sasa Unataka kubishana na mvua tena.Hizi mvua hazina mpangilio?
Kwani kikawaida mvua zinatakiwa kuanza kunyesha kipindi gani?