TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia

Je kuna mvua mikoani huko mliko au ni utapeli wa kawaida wa TMA
Mvua karibu tumekusubiri kwa hamu...
 
Liwale inapiga...liwale oyeee....tulioko liwale lindi kwa pm mstaafu tujuane...
 
Huo utabiri Uko kiujumla sana.wanatakiwa waseme mkoa Fulani wilaya na Kijiji husika ili tujue kweli Kodi zetu wanazitumikia UPASAVYO.
 
Japo haikutajwa katika orodha ya mikoa ya Mvua, ila nimepigiwa simu kuna mtu tulikuwa tunaongea nae anasema tokea saa kumi usiku hadi wakati huu inaendelea kuharisha mharo mzito mzito kanda hizo
Mara pia ni hivyo
 
Back
Top Bottom