TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

Mvua karibu tumekusubiri kwa hamu...
 
Liwale inapiga...liwale oyeee....tulioko liwale lindi kwa pm mstaafu tujuane...
 
Huo utabiri Uko kiujumla sana.wanatakiwa waseme mkoa Fulani wilaya na Kijiji husika ili tujue kweli Kodi zetu wanazitumikia UPASAVYO.
 
Japo haikutajwa katika orodha ya mikoa ya Mvua, ila nimepigiwa simu kuna mtu tulikuwa tunaongea nae anasema tokea saa kumi usiku hadi wakati huu inaendelea kuharisha mharo mzito mzito kanda hizo
Mara pia ni hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…