TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.

Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.

Chanzo: Nipashe
 
5F850A0E-9B55-4A99-B907-2EE655F78180.jpeg
 
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.

Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.

Chanzo: Nipashe
Mbona mapema hivi, na kushtukizana huku vipi? sijaipenda hii kabisa.... nimeshtuka hadi nimemwaga AL KASUS yangu hapa
 
... vipi kuhusu energy drinks ambazo zinatumiwa almost na rika zote tofauti na dawa za nguvu za kiume zinazotumiwa vijeba peke yao?
 
Back
Top Bottom