Mbona mapema hivi, na kushtukizana huku vipi? sijaipenda hii kabisa.... nimeshtuka hadi nimemwaga AL KASUS yangu hapaMkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
Chanzo: Nipashe
Inasababishwa na ninyiDuuh! Poleni sana wanaume.
Kivipi Mtani?Inasababishwa na ninyi
Kusafirisha au kuzika hapo hapo😂😂Mwisho wa siku kila mtu atakufa, hivyo uamuzi ni wako ndugu mtumiaji, uamue kusuka au kunyoa
Mnatuzungusha wee mwisho wa siku tunajivika mabomu ili tufidie siku tulizonyimwaKivipi Mtani?