To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
 
Ss siufe tuhh unazambi ww
IMG_20220723_094300.jpg
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote
2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote
3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote
4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote
5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,

Na jee nanii bado hujawaiii??
 
should we be worried ? I think you are living a happy life
Sio lazima kufanya hivyo vitu kama sehemu ya maisha
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
 
Changamoto yenu ni unywaji wa kahawa kwenye jua kali,kufuatilia mambo ya watu,kujikasirisha kwa starehe za watu,kutoa laana kwa wenzenu kama mmelogwa na kujidai mna hekima.Bila kusahau mnatembea videvu vimeelekea mbele kama mnafungua mageti ya mbinguni.
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
Naomba tuishie hapa.
 
Acha ushamba kuna mambo ukiwa kijana lazima ufanye na usipofanya ukizeeka utatia aibu au utakufa presha kwa kushuhudia watoto wako wakiyafanya mbele yako..

Mimi uzeeni navyowakataza watoto wangu pombe ntawaimbia kabisa kama Prof.Jay ...."KAMA POMBE NIMESHAKUNYWA SANA SHAHIDI MAMA YAKO, UTANAMBIA NINI"..
 
Back
Top Bottom