smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
Sasa umeshasema ni mzee unadhani enzi za ujana wake haya mambo yalikuwepo? 🤔 binafsi siamini kama eti usipofanya anasa ujanani utafanya uzeeni wapo wazee ndiyo wanaofanya hayo mambo .Ni ukweli mkuu, kuna mzee alikua hajawahi kubet sasa aliposikia matangazo kwenye radio akanifuata akaniambia kijana naomba unielekeze hii michezo wanayotangaza kwenye radio sijui Mchongo Pesa, nikamwambia Mzee sikiliza radio fuata maelekezo, kwa hio uzeeeni mkuu atabet tu, life is very simple wala haina papara pupa
Hawa ni wale ambao hawana aibu na unakuta kabisa ujanani anasa walifanya sana tu