To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

Sasa ukizeeka utakua unatoa experience gani kwa vijana endapo utakua unafuatwa kuombwa ushauri?
 
Nawaona wanaokunywa pombe au wanaoenda kwa waganga, so i have enough to tell them about, not necessarily to be personal experience
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Hongera mkuu,ila usije ingia mkenge wa kamari
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
Ongezea na tabia za kibasha basha..
 
Mbon me mwenyewe hayo yote sijawah fanya hata moja

Ila chini sasa ni majanga [emoji27]
 
😂😂😂 kwahyo kama hujawahi fanya sisi tukusaidieje. tuelezee na vile ulivyofanyiwa
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Vipi Jani uliwahi karibu🥱
 
Umenikumbusha story ya mfariasayo akiomba
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
[emoji23][emoji23][emoji23] very true bob don't trust such kind of pia hawanaga humanity to the society kabisa... Anakunyima hata maji ya kunywa na uko na Hali mbayaa balaaa
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Huyu ni mm kabisa
 
Hi ni defensive mechanism tu, una rationalize pombe, uvutaji , ushirikina kwa hoja dhaifu sana
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Hongera sana mkuu, maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Muhimu ni kukaa ktk maamuzi yako bila kuyumba wala kuyumbishwa.

Vv
 
Acha ushamba kuna mambo ukiwa kijana lazima ufanye na usipofanya ukizeeka utatia aibu au utakufa presha kwa kushuhudia watoto wako wakiyafanya mbele yako..

Mimi uzeeni navyowakataza watoto wangu pombe ntawaimbia kabisa kama Prof.Jay ...."KAMA POMBE NIMESHAKUNYWA SANA SHAHIDI MAMA YAKO, UTANAMBIA NINI"..

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom