To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

Reactions kwa huu uzi zinasema sana juu ya tabia zetu, hatuamini katika wema, kila mmoja ni muovu akipatikana mwema mmoja atavurutwa kwenye uovu, ataburuzwa kwenye matope atake asitake, tuchafuke pamoja, tufanane[emoji3]
Mkuu hii ni stage ya pili, stage inayofuata siku mtu ataandika mm ni mtoto wa kiume sijawahi ingiliwa the atazodolewa
 
Sasa ukizeeka utakua unatoa experience gani kwa vijana endapo utakua unafuatwa kuombwa ushauri?
Ina maana vijana watakao wanamfuata ni wahovyo tu? kutoa ushauri sio lazima kitu upitie je siku ukifuatwa na shoga linataka ushauri utashindwa lishauri kisa wewe hujapitia?
 
Unajiona umefanya jambo la maana kweli hapa duniani ila hujui maana ya kufanya jambo la maana hapa duniani ni zaidi ya hayo uliyotaja ,upeo wako mdogo sana
 
Unajiona umefanya jambo la maana kweli hapa duniani ila hujui maana ya kufanya jambo la maana hapa duniani ni zaidi ya hayo uliyotaja ,upeo wako mdogo sana
Mkuu kunasehemu nimesema nimefanya la maana?
Mi nimesema still life is fun, you don't need that to be happy and to enjoy life,
 
Ina maana vijana watakao wanamfuata ni wahovyo tu? kutoa ushauri sio lazima kitu upitie je siku ukifuatwa na shoga linataka ushauri utashindwa lishauri kisa wewe hujapitia?
Yani watu wanapotray kama kufanya hayo ndo ujanja
 
Bas kama hujajiona umefanya la maana uzi umeutupia wa nini ?
Mantiki ni hii

1. Huhitaji mganga /uchawi kufanikiwa katika mambo yako
2. huhitaji night club, kigodoro, pombe na sigara ili uonekane mjanja au uburudike
3. Kuna njia nyingi za kupata pesa zaidi ya kamali
Ni hayo tu mkuu
 
Ok hapo nimekupata
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
BROO mshukuru sana MUNGU kama hujawahi kufanya hivi vitu kwenye kizazi hichi cha mitandao. I hope utakuwa umefanya makubwa sana mpaka sasa ulipofika
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Kamwe hakuna mtu anayeweza kufanya yote ya hapa duniani aidha yawe ya ujana ama uzee. Fanya machache na mengine acha yakupite.
 
utakuja kusumbua watu uzeeni wewe, kuna hatua huwezi kuziruka katika maisha.
 
Changamoto yenu ni unywaji wa kahawa kwenye jua kali,kufuatilia mambo ya watu,kujikasirisha kwa starehe za watu,kutoa laana kwa wenzenu kama mmelogwa na kujidai mna hekima.Bila kusahau mnatembea videvu vimeelekea mbele kama mnafungua mageti ya mbinguni.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom